Mathayo 10
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yesu Awatuma Kazi Mitume Wake
(Mk 3:13-19; 6:7-13; Lk 6:12-16; 9:1-6)
10 Yesu aliwaita pamoja wafuasi wake kumi na mbili. Akawapa uwezo juu ya pepo wabaya ili waweze kuwafukuza na pia kuponya kila aina ya magonjwa na maradhi. 2 Haya ni majina ya mitume kumi na wawili:
Simoni (ambaye pia aliitwa Petro),
Andrea, kaka yake Petro,
Yakobo, mwana wa Zebedayo,
Yohana, kaka yake Yakobo,
3 Filipo,
Bartholomayo,
Thomaso,
Mathayo, mtoza ushuru,
Yakobo, mwana wa Alfayo,
Thadayo,
4 Simoni Mzelote,
Yuda Iskariote (yule ambaye baadaye alimsaliti Yesu).
5 Yesu aliwatuma mitume hawa kumi na wawili pamoja na maelekezo haya: “Msiende kwa watu wasio Wayahudi. Na msiingie katika miji ambako Wasamaria wanaishi. 6 Lakini nendeni kwa watu wa Israeli. Wako kama kondoo waliopotea. 7 Mtakapokwenda, waambieni hivi: ‘Ufalme wa Mungu umekaribia.’ 8 Waponyeni wagonjwa. Fufueni waliokufa. Waponyeni watu wenye magonjwa mabaya sana ya ngozi. Na toeni mashetani kwa watu. Ninawapa nguvu hii bure, hivyo wasaidieni wengine bure. 9 Msibebe pesa pamoja nanyi; dhahabu au fedha au shaba nyekundu. 10 Msibebe mikoba. Chukueni nguo na viatu mlivyovaa tu. Na msichukue fimbo ya kutembelea. Mfanyakazi anastahili kupewa anachohitaji.
11 Mnapoingia katika mji, tafuteni kwa makini hadi mumpate mtu anayefaa na mkae katika nyumba yake mpaka mtakapoondoka mjini. 12 Mtakapoingia katika nyumba hiyo, semeni, ‘Amani iwe kwenu.’ 13 Ikiwa watu katika nyumba hiyo watawakaribisha, wanastahili amani yenu. Wapate amani mliyowatakia. Lakini ikiwa hawatawakaribisha, hawastahili amani yenu. Ichukueni amani mliyowatakia. 14 Na ikiwa watu katika nyumba au mji watakataa kuwapokea au kuwasikiliza, basi ondokeni mahali hapo na mkung'ute mavumbi kutoka katika miguu yenu. 15 Ninaweza kuwathibitishia kuwa siku ya hukumu itakuwa vibaya sana kwa mji huo kuliko watu wa Sodoma na Gomora.[a]
Yesu Aonya Kuhusu Matatizo
(Mk 13:9-13; Lk 21:12-17)
16 Sikilizeni! Ninawatuma, nanyi mtakuwa kama kondoo katikati ya mbwa mwitu. Hivyo muwe na akili kama nyoka. Lakini pia muwe kama njiwa na msimdhuru yeyote. 17 Muwe waangalifu! Wapo watu watakaowakamata na kuwapeleka ili kuwashitaki mbele ya mabaraza ya mijini. Watawachapa ndani ya masinagogi yao. 18 Mtasimamishwa mbele ya magavana na wafalme. Watu watawafanyia ninyi hivi kwa sababu mnanifuata. Mtakuwa mashahidi wangu mbele za wafalme na magavana hao na kwa watu wa mataifa mengine. 19 Mtakapokamatwa, msisumbuke kuhusu nini mtakachosema au namna gani mtakavyosema. Katika wakati huo mtapewa maneno ya kusema. 20 Si ninyi mtakaoongea; Roho wa Baba Mungu wenu atakuwa anaongea kupitia ninyi.
21 Ndugu watakuwa kinyume cha ndugu zao wenyewe na kuwapeleka kwenda kuuawa. Baba watawapeleka watoto wao wenyewe kuuawa. Watoto watapigana kinyume na wazazi wao na watawapeleka kuuawa. 22 Kila mtu atawachukia kwa sababu mnanifuata mimi. Lakini atakayekuwa mwaminifu mpaka mwisho ataokolewa. 23 Mnapotendewa vibaya katika mji mmoja, nendeni katika mji mwingine. Ninawaahidi kuwa hamtamaliza kwenda katika miji ya Israeli kabla Mwana wa Adamu hajarudi.
24 Wanafunzi si wazuri kuliko mwalimu wao. Watumwa si wazuri kuliko bwana wao. 25 Inatosha kwa wanafunzi kuwa kama walimu wao na watumwa kuwa kama bwana wao. Iwapo watu hao wananiita ‘mtawala wa pepo’, na mimi ni kiongozi wa familia, basi ni dhahiri kwa kiasi gani watawatukana ninyi, mlio familia yangu!
Mwogopeni Mungu, Siyo Watu
(Lk 12:2-7)
26 Hivyo msiwagope watu hao. Kila kitu kilichofichwa kitaoneshwa. Kila kilicho siri kitajulikana. 27 Ninayowaambia ninyi faraghani myaseme hadharani. Kila ninachowanong'oneza nawataka mkiseme kwa sauti kila mtu asikie.
28 Msiwaogope watu. Wanaweza kuua mwili, lakini hawawezi kuiua roho. Mnapaswa kumwogopa Mungu, anayeweza kuuharibu mwili na roho jehanamu. 29 Ndege wanapouzwa, ndege wawili wadogo hugharimu senti moja tu. Lakini hakuna hata mmoja wa ndege hao wadogo anaweza kufa bila Baba yenu kufahamu. 30 Mungu anafahamu idadi ya nywele katika vichwa vyenu. 31 Hivyo msiogope. Mna thamani kuliko kundi kubwa la ndege.
Msiionee Haya Imani Yenu
(Lk 12:8-9)
32 Iwapo mtawaambia watu wengine kuwa mnaniamini, nitamwambia Baba yangu aliye mbinguni kuwa ninyi ni wangu. 33 Lakini ikiwa mtasimama mbele ya wengine na kusema kuwa hamniamini, nitamwambia Baba yangu aliye mbinguni kuwa ninyi si wangu.
Kumfuata Yesu Kunaleta Matatizo
(Lk 12:51-53; 14:26-27)
34 Msidhani kuwa nilikuja duniani kuleta amani. Sikuja kuleta amani. Nilikuja kuleta vita. 35 Nimekuja ili hili litokee:
‘Mwana atamgeuka baba yake.
Binti atamgeuka mama yake.
Binti mkwe atamgeuka mama mkwe wake.
36 Hata watu wa familia zenu watakuwa adui zenu.’(A)
37 Wale wanaowapenda baba zao au mama zao kuliko wanavyonipenda mimi hawana thamani kwangu. Na wale wanaowapenda wana wao au binti zao kuliko wanavyonipenda mimi hawastahili kuwa wafuasi wangu. 38 Wale ambao hawataupokea msalaba waliopewa wanaponifuata hawastahili kuwa wanafunzi wangu na kunifuata. 39 Wale wanaojaribu kuyatunza maisha waliyonayo, watayapoteza. Lakini wale wanaoyaacha maisha yao kwa ajili yangu watapata uzima halisi.
Mungu Atawabariki Wanaowakaribisha Ninyi
(Mk 9:41)
40 Yeyote anayewakubali ninyi ananikubali mimi. Na yeyote anayenikubali anamkubali yule aliyenituma. 41 Yeyote anayemkubali nabii kwa sababu ni nabii atapata ujira wa nabii. Na yeyote anayemkubali mwenye haki kwa sababu ni mwenye haki atapata ujira anaoupata mwenye haki. 42 Yeyote anayemsaidia mmoja wa wafuasi wangu hawa wanyenyekevu kwa sababu ni wafuasi wangu hakika atapata ujira, hata ikiwa wanawapa tu kikombe cha maji baridi.”
Footnotes
- 10:15 Sodoma na Gomora Miji ambayo Mungu aliiangamiza kwa sababu watu waliokuwa wakiishi pale walikuwa waovu sana. Tazama Mwa 19.
Matthew 10
EasyEnglish Bible
Jesus chooses 12 men to be his apostles[a]
10 One day, Jesus asked his 12 disciples to come to him. He gave them authority over bad spirits so that they could send the spirits out of people. They could also make sick people well again from every kind of illness.
2 These are the names of the 12 apostles:
The first apostle is Simon, who was also called Peter.
Then Simon's brother, who was called Andrew.
Also James and his brother John, who were Zebedee's sons.
3 There were Philip and Bartholomew.[b]
There were Thomas and Matthew.[c] (Matthew's job was to take taxes from people.)
And James who was the son of Alphaeus, and Thaddaeus.[d]
4 There was also Simon the Zealot and Judas Iscariot, who later gave Jesus to his enemies.[e]
Jesus sends out his 12 apostles
5 Jesus sent out these 12 disciples. Before they left, he said to them, ‘Do not go to any place where the people are Gentiles. And do not go to towns where only Samaritans live.[f] 6 Instead, you must go to the people of Israel. They are like lost sheep with nobody to take care of them. 7 While you travel, you must tell people about the kingdom of heaven. You must tell them that it has now become near. 8 Make sick people well again. Cause dead people to become alive again. If people have a bad disease of the skin, make them well again. Send bad spirits out of people to leave them. God has been very kind to you, so you should be kind to other people. When you help people, do not ask them for money. 9 Do not take any money in your purses. 10 Do not take a bag with you, or extra clothes. Do not take extra shoes or a stick. You are working to help people. So people should give you what you need to live.
11 When you arrive in a town or a village, look for a good person there. Continue to stay in that person's house until you leave there. 12 When you go into the house, say to the people there, “We pray that you will be well.” 13 If the people of that house accept you, then everyone in the house will be well. But if they do not accept you, then take back your kind words. 14 Sometimes you will go to some house or town and the people will not accept you there. They will not listen to your message. Then you should leave. Clean the dirt of that place off your feet. 15 I tell you this: One day God will punish people like that. God will punish them even more than the people who lived in Sodom and Gomorrah long ago.’[g]
16 Jesus then said to his disciples, ‘Listen well. I am sending you to people who will want to kill you. You will be like sheep among wild animals. You must watch carefully, like snakes do. But you must also be good and kind like doves.
17 Be careful! People will be against you. They will take you to stand in front of their leaders. They will punish you with whips in their meeting places. 18 They will take you to stand in front of kings and rulers. All this will happen because you are my disciples. You will tell all these important people and also the Gentiles the good news about me. 19 When they take you to stand in front of their leaders, do not be afraid. Do not worry about what you should say or how you should say it. At that time, God will give you the right words to speak. 20 You will not be speaking your own words. The Holy Spirit of your Father God will give you his own words to say.
21 At that time, a man will let people kill his own brother. A father will let people kill his own child. Children will be against their parents. They will even ask people to kill their parents. 22 All people will hate you because you are my disciples. But God will save the person who remains strong until the end. 23 If people in any town hurt you because of me, you should leave that town immediately. Go to another town. I tell you this: You will not have enough time to speak your message in all the towns of Israel. I, the Son of Man, will return before that can happen.
24 A student is not more important than his teacher is. A servant is not more important than his master is. 25 A student should be happy if he becomes like his teacher. A servant should be happy if he becomes like his master. People have called me, the master of the house, Beelzebul. You are like those people who live in my house. So do not be surprised when people call you even worse names than they call me.
26 So do not be afraid of these people. They hide the things that they do. But there will be a time when other people will see those things. Everyone will know all their secrets. 27 I tell you things secretly, like people do in the dark. But you must tell people these things clearly in the light of day. I have said things very quietly into your ears. But now you must shout those things loudly from the tops of the houses.[h]
28 Do not be afraid of those people who can kill only your body. These people cannot kill your soul. No, it is God that you should be afraid of. He can kill your body, and then he can also destroy your soul in hell. 29 Think about this. People sell two birds for just one small coin. But God takes care of these little birds. Not one of them can fall to the ground unless God lets it happen. 30 God even knows how many hairs there are on your head. 31 So do not be afraid of those people who are against you. You are more valuable to God than many little birds.
32 You should say clearly to other people, “I believe in Jesus.” If you do that, I will say to my Father in heaven, “This is someone who is my disciple.” 33 But if you say to other people, “I do not believe in Jesus,” I will then say to my Father in heaven, “I do not know that person. He is not one of my disciples.”
34 I will tell you why I have come into the world. I did not come so that everyone would agree with each other. No, I came to put people against one another, to fight against each other.[i]
35 A man will fight against his father.
A daughter will fight against her mother.
A woman will fight against her husband's mother.
36 A man's own family will fight against him.[j]
37 Nobody should love his own father and mother more than he loves me. If he does, he cannot be my disciple. Nobody should love his own son or daughter more than he loves me. If he does, then he cannot be my disciple. 38 If you really want to be one of my disciples, you must be ready to die for me. Live like a person who carries his own cross to go and die. 39 Whoever wants to keep his life safe will lose it. But whoever gives his life to serve me will have true life.’
Jesus teaches about God's gifts
40 Jesus said to his disciples, ‘If anyone accepts you in his home, then he is also accepting me. And anyone who accepts me, also accepts my Father God, who sent me. 41 Somebody may accept a prophet into his home because the visitor is a prophet of God. God will bless that person like he blesses a prophet. Or he may accept a good man who obeys God, because the man is good. God will bless that person like he blesses the good man. 42 People may think that my disciples are unimportant. But God will bless anyone who gives even a drink of cold water to one of them. I tell you, that person will never lose God's help.’
Footnotes
- 10:1 Jesus had many disciples. He chose 12 of them to be with him so that he could teach them. He also called these 12 men apostles. The word apostle means ‘someone whom his master sends out to do a job’. Their job was to tell other people about Jesus.
- 10:3 In his book John calls Bartholomew, Nathanael. See John 1:45.
- 10:3 Matthew is another name for Levi.
- 10:3 In this verse and in Mark 3:18, Judas, son of James is called Thaddaeus.
- 10:4 A Zealot was a man who wanted to fight against the Roman ruler. The Zealots wanted the Jews to rule Israel again.
- 10:5 The Samaritan people and the Jews did not like each other. Some of the Samaritans' ancestors were Jewish and some of them were not.
- 10:15 We can read about the cities called Sodom and Gomorrah in Genesis 18. The people who lived in those towns were very bad. And they did not obey God.
- 10:27 At that time, the top of a house was flat. Sometimes people wanted everyone to hear what they said. So they shouted from the top of their house.
- 10:34 Jesus came to the world to bring men and God near together. He wanted people to believe in God and to obey him. But to do this he had to fight against bad things and against Satan. People who obey Satan will fight people who obey God.
- 10:36 Verses 35 and 36. See Micah 7:6
Matthew 10
New International Version
Jesus Sends Out the Twelve(A)(B)(C)(D)(E)
10 Jesus called his twelve disciples to him and gave them authority to drive out impure spirits(F) and to heal every disease and sickness.(G)
2 These are the names of the twelve apostles: first, Simon (who is called Peter) and his brother Andrew; James son of Zebedee, and his brother John; 3 Philip and Bartholomew; Thomas and Matthew the tax collector; James son of Alphaeus, and Thaddaeus; 4 Simon the Zealot and Judas Iscariot, who betrayed him.(H)
5 These twelve Jesus sent out with the following instructions: “Do not go among the Gentiles or enter any town of the Samaritans.(I) 6 Go rather to the lost sheep of Israel.(J) 7 As you go, proclaim this message: ‘The kingdom of heaven(K) has come near.’ 8 Heal the sick, raise the dead, cleanse those who have leprosy,[a] drive out demons. Freely you have received; freely give.
9 “Do not get any gold or silver or copper to take with you in your belts(L)— 10 no bag for the journey or extra shirt or sandals or a staff, for the worker is worth his keep.(M) 11 Whatever town or village you enter, search there for some worthy person and stay at their house until you leave. 12 As you enter the home, give it your greeting.(N) 13 If the home is deserving, let your peace rest on it; if it is not, let your peace return to you. 14 If anyone will not welcome you or listen to your words, leave that home or town and shake the dust off your feet.(O) 15 Truly I tell you, it will be more bearable for Sodom and Gomorrah(P) on the day of judgment(Q) than for that town.(R)
16 “I am sending you out like sheep among wolves.(S) Therefore be as shrewd as snakes and as innocent as doves.(T) 17 Be on your guard; you will be handed over to the local councils(U) and be flogged in the synagogues.(V) 18 On my account you will be brought before governors and kings(W) as witnesses to them and to the Gentiles. 19 But when they arrest you, do not worry about what to say or how to say it.(X) At that time you will be given what to say, 20 for it will not be you speaking, but the Spirit of your Father(Y) speaking through you.
21 “Brother will betray brother to death, and a father his child; children will rebel against their parents(Z) and have them put to death.(AA) 22 You will be hated by everyone because of me,(AB) but the one who stands firm to the end will be saved.(AC) 23 When you are persecuted in one place, flee to another. Truly I tell you, you will not finish going through the towns of Israel before the Son of Man comes.(AD)
24 “The student is not above the teacher, nor a servant above his master.(AE) 25 It is enough for students to be like their teachers, and servants like their masters. If the head of the house has been called Beelzebul,(AF) how much more the members of his household!
26 “So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed, or hidden that will not be made known.(AG) 27 What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. 28 Do not be afraid of those who kill the body but cannot kill the soul. Rather, be afraid of the One(AH) who can destroy both soul and body in hell. 29 Are not two sparrows sold for a penny? Yet not one of them will fall to the ground outside your Father’s care.[b] 30 And even the very hairs of your head are all numbered.(AI) 31 So don’t be afraid; you are worth more than many sparrows.(AJ)
32 “Whoever acknowledges me before others,(AK) I will also acknowledge before my Father in heaven. 33 But whoever disowns me before others, I will disown before my Father in heaven.(AL)
34 “Do not suppose that I have come to bring peace to the earth. I did not come to bring peace, but a sword. 35 For I have come to turn
“‘a man against his father,
a daughter against her mother,
a daughter-in-law against her mother-in-law(AM)—
36 a man’s enemies will be the members of his own household.’[c](AN)
37 “Anyone who loves their father or mother more than me is not worthy of me; anyone who loves their son or daughter more than me is not worthy of me.(AO) 38 Whoever does not take up their cross and follow me is not worthy of me.(AP) 39 Whoever finds their life will lose it, and whoever loses their life for my sake will find it.(AQ)
40 “Anyone who welcomes you welcomes me,(AR) and anyone who welcomes me welcomes the one who sent me.(AS) 41 Whoever welcomes a prophet as a prophet will receive a prophet’s reward, and whoever welcomes a righteous person as a righteous person will receive a righteous person’s reward. 42 And if anyone gives even a cup of cold water to one of these little ones who is my disciple, truly I tell you, that person will certainly not lose their reward.”(AT)
Footnotes
- Matthew 10:8 The Greek word traditionally translated leprosy was used for various diseases affecting the skin.
- Matthew 10:29 Or will; or knowledge
- Matthew 10:36 Micah 7:6
Matthew 10
King James Version
10 And when he had called unto him his twelve disciples, he gave them power against unclean spirits, to cast them out, and to heal all manner of sickness and all manner of disease.
2 Now the names of the twelve apostles are these; The first, Simon, who is called Peter, and Andrew his brother; James the son of Zebedee, and John his brother;
3 Philip, and Bartholomew; Thomas, and Matthew the publican; James the son of Alphaeus, and Lebbaeus, whose surname was Thaddaeus;
4 Simon the Canaanite, and Judas Iscariot, who also betrayed him.
5 These twelve Jesus sent forth, and commanded them, saying, Go not into the way of the Gentiles, and into any city of the Samaritans enter ye not:
6 But go rather to the lost sheep of the house of Israel.
7 And as ye go, preach, saying, The kingdom of heaven is at hand.
8 Heal the sick, cleanse the lepers, raise the dead, cast out devils: freely ye have received, freely give.
9 Provide neither gold, nor silver, nor brass in your purses,
10 Nor scrip for your journey, neither two coats, neither shoes, nor yet staves: for the workman is worthy of his meat.
11 And into whatsoever city or town ye shall enter, enquire who in it is worthy; and there abide till ye go thence.
12 And when ye come into an house, salute it.
13 And if the house be worthy, let your peace come upon it: but if it be not worthy, let your peace return to you.
14 And whosoever shall not receive you, nor hear your words, when ye depart out of that house or city, shake off the dust of your feet.
15 Verily I say unto you, It shall be more tolerable for the land of Sodom and Gomorrha in the day of judgment, than for that city.
16 Behold, I send you forth as sheep in the midst of wolves: be ye therefore wise as serpents, and harmless as doves.
17 But beware of men: for they will deliver you up to the councils, and they will scourge you in their synagogues;
18 And ye shall be brought before governors and kings for my sake, for a testimony against them and the Gentiles.
19 But when they deliver you up, take no thought how or what ye shall speak: for it shall be given you in that same hour what ye shall speak.
20 For it is not ye that speak, but the Spirit of your Father which speaketh in you.
21 And the brother shall deliver up the brother to death, and the father the child: and the children shall rise up against their parents, and cause them to be put to death.
22 And ye shall be hated of all men for my name's sake: but he that endureth to the end shall be saved.
23 But when they persecute you in this city, flee ye into another: for verily I say unto you, Ye shall not have gone over the cities of Israel, till the Son of man be come.
24 The disciple is not above his master, nor the servant above his lord.
25 It is enough for the disciple that he be as his master, and the servant as his lord. If they have called the master of the house Beelzebub, how much more shall they call them of his household?
26 Fear them not therefore: for there is nothing covered, that shall not be revealed; and hid, that shall not be known.
27 What I tell you in darkness, that speak ye in light: and what ye hear in the ear, that preach ye upon the housetops.
28 And fear not them which kill the body, but are not able to kill the soul: but rather fear him which is able to destroy both soul and body in hell.
29 Are not two sparrows sold for a farthing? and one of them shall not fall on the ground without your Father.
30 But the very hairs of your head are all numbered.
31 Fear ye not therefore, ye are of more value than many sparrows.
32 Whosoever therefore shall confess me before men, him will I confess also before my Father which is in heaven.
33 But whosoever shall deny me before men, him will I also deny before my Father which is in heaven.
34 Think not that I am come to send peace on earth: I came not to send peace, but a sword.
35 For I am come to set a man at variance against his father, and the daughter against her mother, and the daughter in law against her mother in law.
36 And a man's foes shall be they of his own household.
37 He that loveth father or mother more than me is not worthy of me: and he that loveth son or daughter more than me is not worthy of me.
38 And he that taketh not his cross, and followeth after me, is not worthy of me.
39 He that findeth his life shall lose it: and he that loseth his life for my sake shall find it.
40 He that receiveth you receiveth me, and he that receiveth me receiveth him that sent me.
41 He that receiveth a prophet in the name of a prophet shall receive a prophet's reward; and he that receiveth a righteous man in the name of a righteous man shall receive a righteous man's reward.
42 And whosoever shall give to drink unto one of these little ones a cup of cold water only in the name of a disciple, verily I say unto you, he shall in no wise lose his reward.
Matthew 10
New King James Version
The Twelve Apostles(A)
10 And (B)when He had called His twelve disciples to Him, He gave them power over unclean spirits, to cast them out, and to heal all kinds of sickness and all kinds of disease. 2 Now the names of the twelve apostles are these: first, Simon, (C)who is called Peter, and Andrew his brother; James the son of Zebedee, and John his brother; 3 Philip and Bartholomew; Thomas and Matthew the tax collector; James the son of Alphaeus, and [a]Lebbaeus, whose surname was Thaddaeus; 4 (D)Simon the [b]Cananite, and Judas (E)Iscariot, who also betrayed Him.
Sending Out the Twelve(F)
5 These twelve Jesus sent out and commanded them, saying: (G)“Do not go into the way of the Gentiles, and do not enter a city of (H)the Samaritans. 6 (I)But go rather to the (J)lost sheep of the house of Israel. 7 (K)And as you go, preach, saying, (L)‘The kingdom of heaven [c]is at hand.’ 8 Heal the sick, [d]cleanse the lepers, [e]raise the dead, cast out demons. (M)Freely you have received, freely give. 9 (N)Provide neither gold nor silver nor (O)copper in your money belts, 10 nor bag for your journey, nor two tunics, nor sandals, nor staffs; (P)for a worker is worthy of his food.
11 (Q)“Now whatever city or town you enter, inquire who in it is worthy, and stay there till you go out. 12 And when you go into a household, greet it. 13 (R)If the household is worthy, let your peace come upon it. (S)But if it is not worthy, let your peace return to you. 14 (T)And whoever will not receive you nor hear your words, when you depart from that house or city, (U)shake off the dust from your feet. 15 Assuredly, I say to you, (V)it will be more tolerable for the land of Sodom and Gomorrah in the day of judgment than for that city!
Persecutions Are Coming(W)
16 (X)“Behold, I send you out as sheep in the midst of wolves. (Y)Therefore be wise as serpents and (Z)harmless[f] as doves. 17 But beware of men, for (AA)they will deliver you up to councils and (AB)scourge you in their synagogues. 18 (AC)You will be brought before governors and kings for My sake, as a testimony to them and to the Gentiles. 19 (AD)But when they deliver you up, do not worry about how or what you should speak. For (AE)it will be given to you in that hour what you should speak; 20 (AF)for it is not you who speak, but the Spirit of your Father who speaks in you.
21 (AG)“Now brother will deliver up brother to death, and a father his child; and children will rise up against parents and cause them to be put to death. 22 And (AH)you will be hated by all for My name’s sake. (AI)But he who endures to the end will be saved. 23 (AJ)When they persecute you in this city, flee to another. For assuredly, I say to you, you will not have (AK)gone through the cities of Israel (AL)before the Son of Man comes.
24 (AM)“A disciple is not above his teacher, nor a servant above his master. 25 It is enough for a disciple that he be like his teacher, and a servant like his master. If (AN)they have called the master of the house [g]Beelzebub, how much more will they call those of his household! 26 Therefore do not fear them. (AO)For there is nothing covered that will not be revealed, and hidden that will not be known.
Jesus Teaches the Fear of God(AP)
27 “Whatever I tell you in the dark, (AQ)speak in the light; and what you hear in the ear, preach on the housetops. 28 (AR)And do not fear those who kill the body but cannot kill the soul. But rather (AS)fear Him who is able to destroy both soul and body in [h]hell. 29 Are not two (AT)sparrows sold for a [i]copper coin? And not one of them falls to the ground apart from your Father’s will. 30 (AU)But the very hairs of your head are all numbered. 31 Do not fear therefore; you are of more value than many sparrows.
Confess Christ Before Men(AV)
32 (AW)“Therefore whoever confesses Me before men, (AX)him I will also confess before My Father who is in heaven. 33 (AY)But whoever denies Me before men, him I will also deny before My Father who is in heaven.
Christ Brings Division(AZ)
34 (BA)“Do not think that I came to bring peace on earth. I did not come to bring peace but a sword. 35 For I have come to (BB)‘set[j] a man against his father, a daughter against her mother, and a daughter-in-law against her mother-in-law’; 36 and (BC)‘a man’s enemies will be those of his own household.’ 37 (BD)He who loves father or mother more than Me is not worthy of Me. And he who loves son or daughter more than Me is not worthy of Me. 38 (BE)And he who does not take his cross and follow after Me is not worthy of Me. 39 (BF)He who finds his life will lose it, and he who loses his life for My sake will find it.
A Cup of Cold Water(BG)
40 (BH)“He who receives you receives Me, and he who receives Me receives Him who sent Me. 41 (BI)He who receives a prophet in the name of a prophet shall receive a prophet’s reward. And he who receives a righteous man in the name of a righteous man shall receive a righteous man’s reward. 42 (BJ)And whoever gives one of these little ones only a cup of cold water in the name of a disciple, assuredly, I say to you, he shall by no means lose his reward.”
Footnotes
- Matthew 10:3 NU omits Lebbaeus, whose surname was
- Matthew 10:4 NU Cananaean
- Matthew 10:7 has drawn near
- Matthew 10:8 NU raise the dead, cleanse the lepers
- Matthew 10:8 M omits raise the dead
- Matthew 10:16 innocent
- Matthew 10:25 NU, M Beelzebul; a Philistine deity, 2 Kin. 1:2, 3
- Matthew 10:28 Gr. Gehenna
- Matthew 10:29 Gr. assarion, a coin worth about 1⁄16 of a denarius
- Matthew 10:35 alienate a man from
© 2017 Bible League International
EasyEnglish Bible Copyright © MissionAssist 2019 - Charitable Incorporated Organisation 1162807. Used by permission. All rights reserved.
Holy Bible, New International Version®, NIV® Copyright ©1973, 1978, 1984, 2011 by Biblica, Inc.® Used by permission. All rights reserved worldwide.
NIV Reverse Interlinear Bible: English to Hebrew and English to Greek. Copyright © 2019 by Zondervan.
Scripture taken from the New King James Version®. Copyright © 1982 by Thomas Nelson. Used by permission. All rights reserved.

