Font Size
Verse of the Day
A daily inspirational and encouraging Bible verse.
Duration: 366 days
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Warumi 10:9-10
9 Kama ukikiri kwa kinywa chako kuwa Yesu ni Bwana na ukiamini moyoni mwako kuwa Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, utaokoka. 10 Kwa maana mtu ana poamini moyoni mwake huhesabiwa haki, na anapokiri kwa kinywa chake, huokolewa.
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica