Font Size
Verse of the Day
A daily inspirational and encouraging Bible verse.
Duration: 366 days
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Luka 9:23-24
23 Kisha akawaambia wote, “Ye yote anayetaka kunifuata ni lazima ajikane nafsi yake, achukue msalaba wake kila siku, anifuate. 24 Kwa maana ye yote atakayeshughulikia zaidi usalama wa nafsi yake ataipoteza. Lakini ye yote atakayeipoteza nafsi yake kwa ajili yangu ataisalimisha.
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica