Previous Prev Day Next DayNext

Verse of the Day

A daily inspirational and encouraging Bible verse.
Duration: 366 days
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Version
1 Wakorintho 15:1

Kufufuka Kwa Kristo

15 Na sasa napenda kuwakumbusha ndugu zangu kuhusu Injili niliyowahubiria, mkaipokea na ambayo ndio msimamo wenu.

1 Wakorintho 15:3-4

Kwa maana niliyopokea ndio niliyowapa ninyi, nayo ni muhimu sana: kwamba Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama ilivy oandikwa katika Maandiko. Na kwamba alizikwa na kufufuka siku ya tatu, kama ilivyoandikwa katika Maandiko.

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)

Copyright © 1989 by Biblica