Ufunuo 18:8
Print
Hivyo katika siku moja atateseka kwa njaa kuu, maombolezo na kifo. Atateketezwa kwa moto, kwa sababu Bwana Mungu anayemhukumu ni mwenye nguvu.”
Hivyo ndivyo maafa yatakavyomjia kwa siku moja; tauni na msiba na njaa, naye atachomwa kwa moto; kwa maana amhukumuye ni Bwana Mungu mwenye uweza.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica