Ufunuo 18:9
Print
Watawala wa dunia waliozini pamoja naye na kushiriki utajiri wake watakapoona moshi wa kuungua kwake, watalia na kuhuzunika kwa sababu ya kifo chake.
Na wafalme wa mataifa waliozini naye na kushiriki tamaa zake watalia na kuomboleza watakapoona moshi wa kuungua kwake.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica