Ufunuo 20:7
Print
Miaka elfu moja itakapokwisha, Shetani ataachiwa huru kutoka kwenye gereza lake.
Miaka hiyo elfu moja itakapokwisha, shetani atafunguliwa kutoka kifungoni mwake,
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica