Atatoka na kwenda kuwadanganya mataifa katika dunia yote, mataifa yajulikanayo kama Gogu na Magogu. Shetani atawakusanya watu kwa ajili ya vita. Kutakuwa watu wengi wasiohesabika kama mchanga katika ufukwe wa bahari.
naye atakuja kuyadanganya mataifa yali yopo katika pembe nne za dunia, yaani, Gog na Magog na kuwakusa nya tayari kwa vita. Idadi yao ni kama mchanga wa bahari.