Heri walifufuliwa mara ya kwanza. Ni watakatifu wa Mungu. Mauti ya pili haina nguvu juu yao. Watakuwa makuhani wa Mungu na Kristo. Watatawala pamoja naye kwa miaka elfu moja.
Wamebarikiwa na ni watakatifu wale watakaoshiriki huo ufufuo wa kwanza. Mauti ya pili haina nguvu kwa hawa bali watakuwa makuhani wa Mungu na wa Kristo, nao watatawala naye kwa muda wa miaka elfu moja.