Ufunuo 19:19
Print
Kisha nikamwona mnyama na watawala wa dunia. Majeshi yao yalikusanyika pamoja ili kufanya vita kupigana na mpanda farasi mweupe na jeshi lake.
Na nikamwona yule mnyama na wafalme wa duniani pamoja na majeshi yao wakikusanyika kumpiga vita yeye aketiye juu ya yule farasi pamoja na jeshi lake.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica