Ufunuo 19:18
Print
Kusanyikeni mle miili ya watawala, majemadari na watu maarufu. Njooni mle miili ya farasi na wanaowapanda na miili ya watu wote, walio huru na watumwa, wadogo na wakubwa.”
Njooni mle nyama ya wafalme na nyama ya majemadari, na nyama ya watu hodari; nyama ya farasi na wapanda farasi, nyama ya wanadamu wote, wakubwa kwa wadogo, watumwa na watu huru.”
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica