Ufunuo 18:6
Print
Upeni mji huo sawasawa na ulivyowapa wengine. Mlipeni mara mbili kadiri ya alivyotenda. Mwandalieni mvinyo ulio na nguvu mara mbili ya mvinyo aliowaandalia wengine.
Mtendee kama yeye alivyotenda, umlipe mara mbili zaidi kwa matendo yake; mchanganyie kinywaji mara mbili zaidi ya kile kinywaji alicho changanya.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica