Ufunuo 18:5
Print
Dhambi za mji huo zimerundikana na kufika mbinguni. Mungu hajasahau makosa aliyotenda.
maana dhambi zake zimelundikana hadi mbinguni, na Mungu amekumbuka maovu yake.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica