Nikatazama, na mbele yangu, katika wingu jeupe, alikuwepo mmoja aliyeonekana kama Mwana wa Mtu. Alikuwa na taji ya dhahabu kwenye kichwa chake na mundu mkali mkononi mwake.
Nikatazama, na mbele yangu nikaona wingu jeupe na mtu anayeonekana kama ‘mwana wa mtu’ akiwa ameketi juu yake. Alikuwa na taji ya dhahabu kichwani mwake na mundu mkali mkononi mwake.