Ufunuo 14:15
Print
Kisha malaika mwingine akatoka hekaluni, akamwambia aliyekaa kwenye wingu, “Chukua mundu wako na ukusanye kutoka duniani. Wakati wa kuvuna umefika, na tunda limeiva duniani.”
Na malaika mwingine akaja kutoka Hekaluni na kwa sauti kubwa akamwita yule aliyekuwa ameketi juu ya wingu akasema, “Chukua mundu wako ukavune kwa kuwa saa ya kuvuna imefika, maana mavuno ya dunia yamekomaa.”
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica