Font Size
Ufunuo 12:13
Joka alipoona amekwisha tupwa chini duniani, alimkimbiza mwanamke aliyemzaa mtoto wa kiume.
Lile joka lilipoona kuwa limetupwa chini duniani, lilim winda yule mwanamke aliyekuwa amejifungua mtoto wa kiume.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica