Ufunuo 12:14
Print
Lakini mwanamke alipewa mabawa mawili ya tai mkuu. Aliweza kuruka mpaka mahali palipoandaliwa kwa ajili yake jangwani. Huko atatunzwa kwa muda wa miaka mitatu na nusu akiwa mbali na joka.
Lakini huyo mama akapewa mabawa mawili ya yule tai mkubwa kusudi aruke hadi mahali ambapo atatunzwa kwa muda na nyakati na nusu ya wakati.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica