Hivyo furahi, ewe mbingu na wote waishio humo! Lakini ole kwa nchi na bahari, kwa sababu Ibilisi ameshuka kwako. Amejaa ghadhabu. Anajua ana muda mchache.”
Kwa hiyo furahini ninyi mbingu, na wote wakaao mbinguni! Bali ole wenu nchi na bahari maana shetani amekuja kwenu akiwa amejaa ghadhabu, kwa maana anajua kuwa muda wake ni mfupi!”