Ufunuo 12:11
Print
Walimshinda kwa sadaka ya damu ya Mwanakondoo na kwa ujumbe wa Mungu waliowaambia watu. Hawakuyapenda maisha yao sana. Hawakuogopa kifo.
Nao wamemshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo na kwa neno la ushuhuda wao, kwa kuwa wao hawakuyapenda maisha yao kiasi cha kuogopa kifo.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica