Ufunuo 12:10
Print
Kisha nilisikia sauti kubwa mbinguni ikisema: “Ushindi na uweza na ufalme wa Mungu wetu na mamlaka ya Masihi wake umekuja sasa, kwa sababu mshitaki wa kaka na dada zetu ametupwa chini. Ndiye aliyewashitaki kwa Mungu, mchana na usiku.
Kisha nikasikia sauti kuu mbinguni ikisema, “Sasa umeti mia wokovu na uweza na Ufalme wa Mungu wetu, na mamlaka ya Kristo wake yamefika. Kwa kuwa mshtaki wa ndugu zetu anayewashtaki mbele za Mungu usiku na mchana ametupwa chini.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica