Font Size
Revised Common Lectionary (Semicontinuous) / Psalm 134 (Praise God day and night); Genesis 18:1-14 (Abraham and Sarah eat with God); 1 Peter 1:23-25 (The word of God endures) (Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Revised Common Lectionary (Semicontinuous)
Daily Bible readings that follow the church liturgical year, with sequential stories told across multiple weeks.
Duration: 1245 days
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
Error: Book name not found: Ps for the version: Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Error: Book name not found: Gen for the version: Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
1 Petro 1:23-25
23 Mmezaliwa upya sio kama matokeo ya mbegu inayoharibika, lakini kama matokeo ya mbegu isiyoharibika. Mmezaliwa upya kwa njia ya ujumbe wa Mungu, ambao unaleta uzima ndani yenu. 24 Hivyo, kama Maandiko yanavyosema:
“Watu wote ni kama manyasi,
na utukufu wao wote ni kama maua pori katika manyasi.
Manyasi yananyauka na kukauka,
na maua yanapukutika,
25 bali ujumbe wa Bwana unadumu milele.”(A)
Na ujumbe huo ni habari njema iliyohubiriwa kwenu.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International