Waefeso 3
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Huduma ya Paulo kwa Wasio Wayahudi
3 Hivyo, mimi Paulo ni mfungwa kwa sababu ninamtumikia Kristo Yesu kwa ajili yenu ninyi msio Wayahudi. 2 Mnajua hakika ya kuwa Mungu alinipa kazi hii kupitia neema yake ili niwasaidie. 3 Mungu alinionyesha na nikaweza kuujua mpango wake wa siri. Nimekwisha kuandika kiasi fulani juu ya hili. 4 Na ikiwa mtasoma nilichowaandikia, mtajua kuwa ninaielewa siri ya kweli kuhusu Kristo. 5 Watu walioishi zamani hawakuambiwa siri hiyo. Lakini sasa, kupitia Roho, Mungu amewawezesha mitume na manabii wake watakatifu kuijua siri hiyo. 6 Na siri hiyo ni hii: Kwa kuikubali Habari Njema, wale wasio Wayahudi watashiriki pamoja na Wayahudi katika baraka alizonazo Mungu kwa ajili ya watu wake. Wao ni sehemu ya mwili mmoja, na wanashiriki manufaa ya ahadi ambayo Mungu aliitimiza kupitia Kristo Yesu.
7 Kwa kipawa cha neema ya Mungu, nilifanywa mtumishi wa kuihubiri Habari Njema. Alinipa neema hiyo kwa nguvu zake. 8 Mimi nisiye na umuhimu zaidi miongoni mwa watu wa Mungu. Lakini alinipa kipawa hiki cha kuwahubiri wasio Wayahudi Habari Njema kuhusu utajiri alionao Kristo. Utajiri huu ni mkuu na si rahisi kuuelewa kikamilifu. 9 Pia Mungu alinipa kazi ya kuwaambia watu kuhusu mpango wa siri yake ya kweli. Aliificha siri hii ya kweli ndani yake tangu mwanzo wa nyakati. Ndiye aliyeumba kila kitu. 10 Lengo lake lilikuwa kwamba watawala wote na mamlaka zote zilizo mbinguni zijue njia nyingi anazotumia kuionesha hekima yake. Watalijua hili kwa sababu ya kanisa. 11 Hii inaendana na mpango aliokuwa nao Mungu tangu mwanzo wa nyakati. Alitekeleza mpango wake kupitia Kristo Yesu Bwana wetu. 12 Kwa kuwa tu wake Kristo tunakuja mbele za Mungu tukiwa huru bila woga. Tunaweza kufanya hivi kwa sababu ya uaminifu wake Kristo.[a] 13 Hivyo ninawaomba msikate tamaa kutokana na yale yanayonipata. Mateso yangu ni faida kwenu, na pia ni kwa ajili ya heshima na utukufu wenu.
Upendo wa Kristo
14 Hivyo ninapiga magoti nikimwomba Baba. 15 Ambaye katika yeye kila familia iliyoko mbinguni na duniani inapewa jina. 16 Ninamwomba Baba kwa kadri ya utajiri wa utukufu wake awajaze nguvu za ndani kwa nguvu za Roho wake. 17 Ninaomba kwamba Kristo aishi katika mioyo yenu kwa sababu ya imani yenu. Ninaomba maisha yenu yawe na mizizi mirefu na misingi imara katika upendo. 18 Na ninaomba ili ninyi na watakatifu wote wa Mungu muwe na uwezo wa kuuelewa upana, urefu, kimo na kina cha ukuu wa upendo wa Kristo. 19 Upendo wa Kristo ni mkuu kuliko namna ambavyo mtu yeyote anaweza kujua, lakini ninawaombea ili mweze kuujua. Ndipo mtajazwa kwa kila kitu alichonacho Mungu kwa ajili yenu.
20 Tukiwa na nguvu za Mungu zinazotenda kazi ndani yetu, anaweza kufanya zaidi, zaidi ya kila kitu tunachoweza kuomba au kufikiri. 21 Atukuzwe katika kanisa na katika Kristo Yesu kila wakati, milele na milele. Amina.
Footnotes
- 3:12 uaminifu wake Kristo Au “kwa sababu ya imani katika Kristo”.
Ephesians 3
New International Version
God’s Marvelous Plan for the Gentiles
3 For this reason I, Paul, the prisoner(A) of Christ Jesus for the sake of you Gentiles—
2 Surely you have heard about the administration of God’s grace that was given to me(B) for you, 3 that is, the mystery(C) made known to me by revelation,(D) as I have already written briefly. 4 In reading this, then, you will be able to understand my insight(E) into the mystery of Christ, 5 which was not made known to people in other generations as it has now been revealed by the Spirit to God’s holy apostles and prophets.(F) 6 This mystery is that through the gospel the Gentiles are heirs(G) together with Israel, members together of one body,(H) and sharers together in the promise in Christ Jesus.(I)
7 I became a servant of this gospel(J) by the gift of God’s grace given me(K) through the working of his power.(L) 8 Although I am less than the least of all the Lord’s people,(M) this grace was given me: to preach to the Gentiles(N) the boundless riches of Christ,(O) 9 and to make plain to everyone the administration of this mystery,(P) which for ages past was kept hidden in God, who created all things. 10 His intent was that now, through the church, the manifold wisdom of God(Q) should be made known(R) to the rulers and authorities(S) in the heavenly realms,(T) 11 according to his eternal purpose(U) that he accomplished in Christ Jesus our Lord. 12 In him and through faith in him we may approach God(V) with freedom and confidence.(W) 13 I ask you, therefore, not to be discouraged because of my sufferings for you, which are your glory.
A Prayer for the Ephesians
14 For this reason I kneel(X) before the Father, 15 from whom every family[a] in heaven and on earth derives its name. 16 I pray that out of his glorious riches(Y) he may strengthen you with power(Z) through his Spirit in your inner being,(AA) 17 so that Christ may dwell in your hearts(AB) through faith. And I pray that you, being rooted(AC) and established in love, 18 may have power, together with all the Lord’s holy people,(AD) to grasp how wide and long and high and deep(AE) is the love of Christ, 19 and to know this love that surpasses knowledge(AF)—that you may be filled(AG) to the measure of all the fullness of God.(AH)
20 Now to him who is able(AI) to do immeasurably more than all we ask(AJ) or imagine, according to his power(AK) that is at work within us, 21 to him be glory in the church and in Christ Jesus throughout all generations, for ever and ever! Amen.(AL)
Footnotes
- Ephesians 3:15 The Greek for family (patria) is derived from the Greek for father (pater).
Ephesians 3
New King James Version
The Mystery Revealed
3 For this reason I, Paul, the prisoner of Christ Jesus for you Gentiles— 2 if indeed you have heard of the [a]dispensation of the grace of God (A)which was given to me for you, 3 (B)how that by revelation (C)He made known to me the mystery (as I have briefly written already, 4 by which, when you read, you may understand my knowledge in the mystery of Christ), 5 which in other ages was not made known to the sons of men, as it has now been revealed by the Spirit to His holy apostles and prophets: 6 that the Gentiles (D)should be fellow heirs, of the same body, and partakers of His promise in Christ through the gospel, 7 (E)of which I became a minister (F)according to the gift of the grace of God given to me by (G)the effective working of His power.
Purpose of the Mystery
8 To me, (H)who am less than the least of all the saints, this grace was given, that I should preach among the Gentiles (I)the unsearchable riches of Christ, 9 and to make all see what is the [b]fellowship of the mystery, which from the beginning of the ages has been hidden in God who (J)created all things [c]through Jesus Christ; 10 (K)to the intent that now (L)the [d]manifold wisdom of God might be made known by the church (M)to the [e]principalities and powers in the heavenly places, 11 (N)according to the eternal purpose which He accomplished in Christ Jesus our Lord, 12 in whom we have boldness and access (O)with confidence through faith in Him. 13 (P)Therefore I ask that you do not lose heart at my tribulations for you, (Q)which is your glory.
Appreciation of the Mystery
14 For this reason I bow my knees to the (R)Father [f]of our Lord Jesus Christ, 15 from whom the whole family in heaven and earth is named, 16 that He would grant you, (S)according to the riches of His glory, (T)to be strengthened with might through His Spirit in (U)the inner man, 17 (V)that Christ may dwell in your hearts through faith; that you, (W)being rooted and grounded in love, 18 (X)may be able to comprehend with all the saints (Y)what is the width and length and depth and height— 19 to know the love of Christ which passes knowledge; that you may be filled (Z)with all the fullness of God.
20 Now (AA)to Him who is able to do exceedingly abundantly (AB)above all that we ask or think, (AC)according to the power that works in us, 21 (AD)to Him be glory in the church by Christ Jesus to all generations, forever and ever. Amen.
Footnotes
- Ephesians 3:2 stewardship
- Ephesians 3:9 NU, M stewardship (dispensation)
- Ephesians 3:9 NU omits through Jesus Christ
- Ephesians 3:10 variegated or many-sided
- Ephesians 3:10 rulers
- Ephesians 3:14 NU omits of our Lord Jesus Christ
Ефесяни 3
Библия, ревизирано издание
Служението на апостол Павел сред езичниците
3 (A)Затова аз, Павел, затворник за Исус Христос заради вас, езичниците,
2 (B)понеже сте чули за нареденото от Божията благодат, която ми е дадена заради вас,
3 (C)че по откровение ми стана известна тайната (както и по-рано накратко ви писах,
4 (D)от което, като прочетете, може да разберете моето вникване в тайната на Христос),
5 (E)която в други поколения не беше известна на човешкия род, както сега чрез Духа се откри на Неговите святи апостоли и пророци,
6 (F)а именно, че езичниците са сънаследници, като съставляват едно тяло, и са съпричастници на Неговото обещание в Христос Исус чрез благовестието,
7 (G)на което станах служител според Божията благодат – дар, който ми е даден по действието на Неговата сила.
8 (H)На мене, най-нищожния от всички светии, се даде тази благодат, да благовестя между езичниците неизследимото Христово богатство
9 (I)и да осветлявам всички в наредбата относно тайната, която от векове е била скрита у Бога, Създателя на всичко,
10 (J)така че на небесните началства и власти да стане позната сега чрез църквата многообразната премъдрост на Бога,
11 (K)според предвечното намерение, което Той изработи в Христос Исус, нашия Господ,
12 (L)в Когото имаме своето дръзновение и достъп с увереност чрез вяра в Него;
13 (M)по която причина ви моля да не се обезсърчавате от моите неволи заради вас, тъй като те са за ваша слава.
Апостолската молитва за Христовата любов
14 Затова прекланям коленете си пред Отца на нашия Господ Исус Христос,
15 (N)от Когото носи името си всеки род на небесата и на земята,
16 (O)да ви даде, според богатството на славата Си, да се утвърдите здраво чрез Неговия Дух във вътрешния човек,
17 (P)чрез вяра да се всели Христос във вашите сърца, така че, вкоренени и основани в любовта,
18 (Q)да бъдете силни да разберете заедно с всички светии какво е широчината и дължината, височината и дълбочината
19 (R)и да познаете Христовата любов, която превъзхожда всяко знание, за да се изпълните в цялата Божия пълнота.
20 (S)А на Този, Който, според действащата в нас сила, може да направи несравнимо повече, отколкото искаме или мислим,
21 (T)на Него да бъде слава в църквата и в Христос Исус във всички родове отвека довека. Амин.
Ephesians 3
King James Version
3 For this cause I Paul, the prisoner of Jesus Christ for you Gentiles,
2 If ye have heard of the dispensation of the grace of God which is given me to you-ward:
3 How that by revelation he made known unto me the mystery; (as I wrote afore in few words,
4 Whereby, when ye read, ye may understand my knowledge in the mystery of Christ)
5 Which in other ages was not made known unto the sons of men, as it is now revealed unto his holy apostles and prophets by the Spirit;
6 That the Gentiles should be fellowheirs, and of the same body, and partakers of his promise in Christ by the gospel:
7 Whereof I was made a minister, according to the gift of the grace of God given unto me by the effectual working of his power.
8 Unto me, who am less than the least of all saints, is this grace given, that I should preach among the Gentiles the unsearchable riches of Christ;
9 And to make all men see what is the fellowship of the mystery, which from the beginning of the world hath been hid in God, who created all things by Jesus Christ:
10 To the intent that now unto the principalities and powers in heavenly places might be known by the church the manifold wisdom of God,
11 According to the eternal purpose which he purposed in Christ Jesus our Lord:
12 In whom we have boldness and access with confidence by the faith of him.
13 Wherefore I desire that ye faint not at my tribulations for you, which is your glory.
14 For this cause I bow my knees unto the Father of our Lord Jesus Christ,
15 Of whom the whole family in heaven and earth is named,
16 That he would grant you, according to the riches of his glory, to be strengthened with might by his Spirit in the inner man;
17 That Christ may dwell in your hearts by faith; that ye, being rooted and grounded in love,
18 May be able to comprehend with all saints what is the breadth, and length, and depth, and height;
19 And to know the love of Christ, which passeth knowledge, that ye might be filled with all the fulness of God.
20 Now unto him that is able to do exceeding abundantly above all that we ask or think, according to the power that worketh in us,
21 Unto him be glory in the church by Christ Jesus throughout all ages, world without end. Amen.
© 2017 Bible League International
Holy Bible, New International Version®, NIV® Copyright ©1973, 1978, 1984, 2011 by Biblica, Inc.® Used by permission. All rights reserved worldwide.
NIV Reverse Interlinear Bible: English to Hebrew and English to Greek. Copyright © 2019 by Zondervan.
Scripture taken from the New King James Version®. Copyright © 1982 by Thomas Nelson. Used by permission. All rights reserved.
Copyright by © Българско библейско дружество 2015. Използвани с разрешение.


