Yohana 1:12
Print
Lakini baadhi ya watu walimkubali wakamwamini na akawapa haki ya kuwa watoto wa Mungu.
Bali wote waliompokea na kumwamini aliwapa haki ya kufanywa watoto wa Mungu.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica