Ufunuo 18:12
Print
dhahabu, fedha, vito, lulu, nguo za kitani safi, nguo za zambarau, hariri na nguo nyekundu, aina zote za mti wa udi, na aina zote za vitu vilivyotengenezwa kutokana na pembe za wanyama, miti ya thamani, shaba, chuma, na marimari.
Bidhaa za dhahabu, fedha, vito vya thamani na lulu, kitani safi, nguo za rangi ya zambarao, hariri, na nguo nyekundu, aina zote za mti wa udi, vifaa vya meno ya tembo, vifaa vyote vya mbao ya thamani, shaba, chuma na marumaru,
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica