Watu wote wa dunia wamekunywa mvinyo wa uzinzi wake na ghadhabu ya Mungu. Watawala wa dunia walizini pamoja naye, na wafanya biashara wa ulimwengu walitajirika kutokana na utajiri wa anasa zake.”
Maana mataifa yote yamekunywa divai ya uasherati wake, na wafalme wa duniani wamezini naye; na wafanya biashara wa duniani wametaji rika kutokana na tamaa yake mbaya isiyo na mipaka.”