Mathayo 28:15
Print
Hivyo wale askari wakachukua pesa na kuwatii makuhani. Na jambo hili bado linasambaa miongoni mwa Wayahudi hata hivi leo.
Kwa hiyo wale askari wakazipokea hizo fedha wakafanya kama walivy oagizwa. Na habari hii imeenea kwa Wayahudi mpaka leo.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica