Mathayo 21:17
Print
Kisha Yesu akawaacha na akaenda katika mji wa Bethania akalala huko.
Akawaacha akatoka nje ya mji, akaenda hadi Bethania, akalala huko.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica