Wakamwuliza Yesu, “Unasikia wanayosema watoto hawa?” Akajibu, “Ndiyo. Maandiko yanasema, ‘Umewafundisha watoto wadogo na watoto wanyonyao kusifu.’ Hamjasoma Maandiko haya?”
“Unasikia hawa wanavyosema?” Akawajibu, “Nasikia. Kwani hamjasoma maneno haya, ‘Kutoka katika vinywa vya watoto wadogo na wale wanaonyonya umeleta sifa kamili’? ”