Font Size
Mathayo 1:3
Yuda alikuwa baba wa Peresi na Zera. (Mama yao alikuwa Tamari.) Peresi alikuwa baba yake Hezroni. Hezroni alikuwa baba yake Ramu.
Yuda alikuwa baba yake Peresi na Zera ambao mama yao alikuwa Tamari; Peresi alikuwa baba yake Esroni; Esroni alikuwa baba yake Aramu;
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica