Mathayo 1:2
Print
Ibrahimu alikuwa baba yake Isaka. Isaka alikuwa baba yake Yakobo. Yakobo alikuwa baba wa Yuda na ndugu zake.
Abrahamu alikuwa baba yake Isaka; Isaka alikuwa baba yake Yakobo; na Yakobo alikuwa baba yake Yuda na ndugu zake.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) Copyright © 2017 by Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica