Marko 9:41
Print
Yeyote anayewapa ninyi kikombe cha maji kwa sababu ninyi ni wake Kristo. Hakika ninawaambia ukweli kwamba, hatapoteza thawabu yake.
Ninawahakikishia kwamba mtu atakayewapa japo maji ya kunywa kwa kuwa ninyi ni wafuasi wangu, atapewa tuzo.”
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) Copyright © 2017 by Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica