1 Timotheo 1:6
Print
Lakini wengine wamekosa jambo hili la msingi katika mafundisho yao na wamepoteza mwelekeo. Sasa wanazungumza juu ya mambo yasiyo na msaada kwa mtu yeyote.
Watu wengine wamepotoka na kuingia katika majadiliano yasiyo na maana kwa kuwa hawakuzingatia mambo haya.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica