1 Timotheo 1:7
Print
Wanataka kuwa walimu wa sheria, lakini hawafahamu mambo wanayosema, wanasema kwa ujasiri wote juu ya mambo wasiyoyaelewa wenyewe.
Wanataka kuwa walimu wa sheria ingawa hawaelewi mambo wanayosema wala hayo wanayotilia mkazo.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica