1 Wakorintho 10:12
Print
Hivyo kila anayedhani kuwa yuko imara katika imani yake, basi awe mwangalifu asianguke.
Kwa hiyo mtu anayejidhania kwamba anasimama, awe na tahadhari asije akaanguka.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica