Font Size
                  
                
              
            Daily Reading for Personal Growth, 40 Days with God / 1 John 3:1–3 (Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
      
    Daily Reading for Personal Growth, 40 Days with God
40 daily Scripture readings that illustrate the character of God and the nature of faith.
                Duration: 40 days
                            
                    Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi                  (TKU)
                  
                  
              1 Yohana 3:1-3
Tu Watoto wa Mungu
3 Baba ametupenda sisi sana! Hili linaonesha jinsi anavyotupenda: Tunaitwa watoto wa Mungu. Ni kweli kuwa tu watoto wa Mungu. Lakini watu waliomo duniani hawaelewi ya kuwa sisi tu watoto wa Mungu, kwa sababu hawamjui yeye. 2 Wapendwa, sasa tu watoto wa Mungu. Mungu hajatuonyesha bado namna tutakavyokuwa wakati unaoukuja. Lakini tunajua ya kwamba Kristo atakapokuja tena, tutafanana naye. Tutamwona kama alivyo. 3 Ni mtakatifu, na kila aliye na matumaini haya katika yeye huendelea kuwa mtakatifu.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) 
                  © 2017 Bible League International