Print Page Options

Yesu Awatuma Kazi Mitume Wake

(Mt 10:5-15; Mk 6:7-13)

Yesu aliwaita mitume wake kumi na wawili pamoja, akawapa nguvu kuponya magonjwa na kutoa pepo kwa watu. Akawatuma kwenda kuhubiri kuhusu Ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa. Akawaambia, “Mnaposafiri, msibebe kitu chochote: msichukue fimbo ya kutembelea, msibebe mkoba, chakula au fedha. Chukueni nguo mlizovaa tu kwa ajili ya safari yenu. Mkiingia katika nyumba; kaeni katika nyumba hiyo mpaka mtakapokuwa mnatoka katika mji huo. Ikiwa watu katika mji mtakaoingia hawatawakaribisha, nendeni nje ya mji na kuyakung'uta mavumbi miguuni mwenu kama onyo kwao.”

Hivyo mitume wakaondoka. Walisafiri katika miji yote. Walihubiri Habari Njema na kuponya wagonjwa kila mahali.

Herode Achanganyikiwa Kuhusu Yesu

(Mt 14:1-12; Mk 6:14-29)

Herode, mtawala wa Galilaya alisikia mambo yote yaliyokuwa yanatokea. Alichanganyikiwa kwa sababu baadhi ya watu walisema, “Yohana Mbatizaji amefufuka kutoka kwa wafu.” Wengine walisema, “Eliya amekuja kwetu,” na baadhi ya watu wengine walisema “Mmoja wa manabii wa kale amefufuka kutoka kwa wafu”. Herode alisema, “Nilimkata kichwa Yohana. Sasa, mtu huyu ninayesikia habari zake ni nani?” Herode aliendelea kutaka kumwona Yesu.

Yesu Awalisha Watu Zaidi ya 5,000

(Mt 14:13-21; Mk 6:30-44; Yh 6:1-14)

10 Mitume waliporudi, walimwambia Yesu waliyoyafanya katika safari yao. Ndipo akawachukua mpaka kwenye mji uitwao Bethsaida. Ili yeye Yesu na mitume wawe peke yao pamoja. 11 Lakini watu walipotambua mahali alikokwenda Yesu walimfuata. Aliwakaribisha na kuwaambia kuhusu ufalme wa Mungu. Na aliwaponya waliokuwa wagonjwa.

12 Baadaye nyakati za jioni. Mitume kumi na mbili walimwendea na kumwambia, “Hakuna anayeishi mahali hapa. Waage watu. Wanahitaji kutafuta chakula na mahali pa kulala katika mashamba na miji iliyo karibu na eneo hili.”

13 Lakini Yesu akawaambia mitume, “Wapeni chakula.”

Wakasema, “Tuna mikate mitano na samaki wawili tu. Unataka twende tukanunue vyakula kwa ajili ya watu wote hawa? Ni wengi mno!” 14 (Walikuwepo wanaume kama 5,000 pale.)

Yesu akawaambia wafuasi wake, “Waambieni watu wakae katika vikundi vya watu hamsini hamsini.”

15 Hivyo wafuasi wake wakafanya hivyo na kila mtu akakaa chini. 16 Ndipo Yesu akaichukua ile mikate mitano na wale samaki wawili. Akatazama juu mbinguni na kumshukuru Mungu kwa ajili ya chakula hicho. Kisha akaimega vipande vipande, akawapa wanafunzi wake ili wawape watu. 17 Watu wote wakala mpaka wakashiba. Vikasalia vikapu kumi na mbili vilivyojaa vipande vya mikate na samaki ambavyo havikuliwa.

Petro Atambua Yesu ni Nani

(Mt 16:13-19; Mk 8:27-29)

18 Wakati mmoja Yesu alikuwa anaomba akiwa peke yake. Wafuasi wake walimwendea na aliwauliza, “Watu wanasema mimi ni nani?”

19 Wakajibu, “Baadhi ya watu wanasema wewe ni Yohana Mbatizaji, wengine wanasema wewe ni Eliya, lakini wengine wanasema wewe ni mmoja wa manabii wa zamani aliyefufuka.”

20 Kisha Yesu akawauliza wafuasi wake, “Na ninyi mnasema mimi ni nani?”

Petro akajibu, “Wewe ni Masihi kutoka kwa Mungu.”

21 Yesu akawatahadharisha wasimwambie mtu yeyote.

Yesu Asema ni Lazima Afe

(Mt 16:21-28; Mk 8:31-9:1)

22 Yesu akasema, “Ni lazima Mwana wa Adamu apate mateso mengi. Nitakataliwa na viongozi wazee wa Kiyahudi, viongozi wa makuhani na walimu wa sheria. Na nitauawa. Lakini siku ya tatu nitafufuliwa kutoka kwa wafu.”

23 Kisha Yesu akamwambia kila mmoja aliyekuwa pale, “Mtu yeyote miongoni mwenu akitaka kuwa mfuasi wangu ni lazima ajikane yeye mwenyewe na mambo anayopenda. Ni lazima uubebe msalaba unaotolewa kwako kila siku kwa sababu ya kunifuata mimi. 24 Yeyote miongoni mwenu anayetaka kuyaponya maisha yake atayaangamiza. Lakini yeyote atakayeyatoa maisha yake kwa ajili yangu atayaokoa. 25 Haina thamani kwenu kuupata ulimwengu wote ikiwa ninyi wenyewe mtateketezwa au kupoteza kila kitu. 26 Msione aibu kwa sababu ya kunifuata na kusikiliza mafundisho yangu. Mkifanya hivyo, Mimi, Mwana wa Adamu, nitawaonea aibu nitakapokuja nikiwa na utukufu wangu, utukufu wa Baba na wa malaika watakatifu. 27 Niaminini ninaposema kwamba baadhi yenu ninyi mliosimama hapa mtauona Ufalme wa Mungu kabla hamjafa.”

Yesu Aonekana Akiwa na Musa na Eliya

(Mt 17:1-8; Mk 9:2-8)

28 Baada ya siku kama nane tangu Yesu aseme maneno haya, aliwachukua Petro, Yohana na Yakobo, akapanda mlimani kuomba. 29 Yesu alipokuwa akiomba, uso wake ulianza kubadilika. Nguo zake zikawa nyeupe, zikang'aa. 30 Kisha watu wawili walikuwa pale, wakiongea naye. Walikuwa Musa na Eliya; 31 Wao pia walionekana waking'aa na wenye utukufu. Walikuwa wanazungumza na Yesu kuhusu kifo chake kitakachotokea Yerusalemu. 32 Petro na wenzake walikuwa wanasinzia. Lakini waliamka na kuuona utukufu wa Yesu. Waliwaona pia watu wawili waliokuwa wamesimama pamoja naye. 33 Musa na Eliya walipokuwa wanaondoka, Petro akasema, “Mkuu, ni vizuri tuko hapa. Tutajenga vibanda vitatu hapa, kimoja kwa ajili ya kukutukuza wewe, kingine kwa ajili kumtukuza Musa na kingine wa ajili ya kumtukuza Eliya.” Petro hakujua alichokuwa anasema.

34 Petro alipokuwa akisema mambo haya, wingu likaja, likawafunika wote. Petro, Yohana na Yakobo waliogopa walipofunikwa na wingu. 35 Sauti ikatoka katika wingu na kusema, “Huyu ni Mwanangu. Ndiye niliyemchagua. Mtiini yeye.”

36 Sauti hiyo ilipomalizika, Yesu peke yake ndiye alikuwa pale. Petro, Yohana na Yakobo hawakusema chochote. Na kwa muda mrefu baada ya hilo, hawakumwambia mtu yeyote yale waliyoyaona.

Yesu Amweka Huru Mvulana Kutoka Pepo Mchafu

(Mt 17:14-18; Mk 9:14-27)

37 Siku iliyofuata, Yesu, Petro, Yohana na Yakobo walitelemka kutoka mlimani. Kundi kubwa la watu likaenda kukutana naye. 38 Mtu mmoja katika umati huo alimwita Yesu akisema, “Mwalimu, tafadhali njoo umwonee mwanangu. Ni mtoto pekee niliye naye. 39 Pepo mchafu humvaa na hupiga kelele, humtia kifafa na kumtoa povu mdomoni. Huendelea kumwumiza na hamwachi kirahisi. 40 Niliwaomba wanafunzi wako wamtoe pepo huyu mchafu lakini wameshindwa.”

41 Yesu akajibu, “Enyi watu msio na imani. Maisha yenu ni mabaya. Nitakaa na kuchukuliana nanyi mpaka lini?” Ndipo Yesu akamwambia yule mtu, “Mlete kijana wako hapa.”

42 Kijana alipokuwa anakwenda kwa Yesu, pepo mchafu akamwangusha chini na kumtia kifafa. Lakini Yesu akamwamuru atoke. Kijana akaponywa, na Yesu akampeleka kwa baba yake. 43 Watu wote wakaushangaa ukuu wa nguvu ya Mungu.

Yesu Azungumza Kuhusu Kifo Chake

(Mt 17:22-23; Mk 9:30-32)

Watu walipokuwa bado wanayashangaa mambo yote aliyofanya Yesu. Akawaambia wanafunzi wake, 44 “Msiyasahau nitakayowaambia sasa: Mwana wa Adamu yu karibu kukamatwa na kuwekwa katika mikono ya watu wengine.” 45 Lakini wanafunzi hawakuelewa alichomaanisha. Maana ilifichwa kwao ili wasitambue. Lakini waliogopa kumwuliza Yesu kuhusiana na alilosema.

Nani ni Mkuu Zaidi?

(Mt 18:1-5; Mk 9:33-37)

46 Wafuasi wa Yesu walianza kubishana wakiulizana nani ni mkuu kuliko wote miongoni mwao. 47 Yesu alijua walichokuwa wanafikiri, hivyo akamchukua mtoto mdogo na kumsimamisha karibu yake. 48 Kisha akawaambia, “Yeyote anayemkaribisha mtoto mdogo kama huyu kwa jina langu ananikaribisha mimi. Na yeyote anayenikaribisha mimi anamkaribisha yule aliyenituma. Aliye mnyenyekevu zaidi miongoni mwenu, ndiye mkuu.”

Asiye Kinyume Nanyi ni Mmoja Wenu

(Mk 9:38-40)

49 Yohana akajibu; “Bwana mkubwa, tuliona mtu anatoa pepo kutoka kwa watu akitumia jina lako. Tulimwambia aache kwa sababu hayuko katika kundi letu.”

50 Yesu akamwambia, “Msimkataze. Asiye kinyume nanyi yu pamoja nanyi.”

Katika Mji wa Samaria

51 Wakati ulikuwa unakaribia ambapo Yesu alikuwa aondoke na kurudi mbinguni. Hivyo aliamua kwenda Yerusalemu. 52 Alituma baadhi ya watu kumtangulia. Waliondoka na kwenda katika mji mmoja wa Samaria, ili kumwandalia mahali pa kufikia. 53 Lakini watu katika mji huo hawakumkaribisha Yesu kwa sababu alikuwa anakwenda Yerusalemu. 54 Wafuasi wake; Yakobo na Yohana walipoona hayo, wakasema, “Bwana, unataka tuagize moto ushuke kutoka mbinguni na kuwateketeza watu hawa?”[a]

55 Lakini Yesu aligeuka na akawakemea baada ya wao kusema hivi.[b] 56 Kisha Yesu na wanafunzi wake wakaondoka wakaenda katika mji mwingine.

Kumfuata Yesu

(Mt 8:19-22)

57 Walipokuwa wakisafiri pamoja njiani, mtu mmoja akamwambia Yesu, “Nitakufuata kokote utakakokwenda.”

58 Yesu akamwambia, “Mbweha wana mapango na ndege wa angani wana viota. Lakini Mwana wa Adamu hana mahali pa kulaza kichwa chake.”

59 Yesu akamwambia mtu mwingine, “Nifuate!”

Lakini mtu yule akamwambia, “Bwana, niache nikamzike baba yangu kwanza.”

60 Lakini Yesu akamwambia, “Waache waliokufa wawazike wafu wao. Ni lazima uende kuhubiri kuhusu Ufalme wa Mungu.”

61 Mtu mwingine pia akamwambia, “Nitakufuata Bwana, lakini niruhusu kwanza nikaiage familia yangu.”

62 Yesu akamwambia, “Mtu yeyote anayeanza kulima, kisha akaangalia nyuma hajajiandaa kwa ajili ya Ufalme wa Mungu.”

Footnotes

  1. 9:54 Nakala zingine za Kiyunani zimeongeza “Kama Eliya alivyofanya?”
  2. 9:55 Nakala zingine za Kiyunani zimeongeza “Na akasema, ‘Hamjui mna roho ya namna gani. 56 Mwana wa Adamu hakuja kuyateketeza maisha ya watu bali kuyaokoa.’”

Jesus Sends Out the Twelve(A)(B)

When Jesus had called the Twelve together, he gave them power and authority to drive out all demons(C) and to cure diseases,(D) and he sent them out to proclaim the kingdom of God(E) and to heal the sick. He told them: “Take nothing for the journey—no staff, no bag, no bread, no money, no extra shirt.(F) Whatever house you enter, stay there until you leave that town. If people do not welcome you, leave their town and shake the dust off your feet as a testimony against them.”(G) So they set out and went from village to village, proclaiming the good news and healing people everywhere.

Now Herod(H) the tetrarch heard about all that was going on. And he was perplexed because some were saying that John(I) had been raised from the dead,(J) others that Elijah had appeared,(K) and still others that one of the prophets of long ago had come back to life.(L) But Herod said, “I beheaded John. Who, then, is this I hear such things about?” And he tried to see him.(M)

Jesus Feeds the Five Thousand(N)(O)

10 When the apostles(P) returned, they reported to Jesus what they had done. Then he took them with him and they withdrew by themselves to a town called Bethsaida,(Q) 11 but the crowds learned about it and followed him. He welcomed them and spoke to them about the kingdom of God,(R) and healed those who needed healing.

12 Late in the afternoon the Twelve came to him and said, “Send the crowd away so they can go to the surrounding villages and countryside and find food and lodging, because we are in a remote place here.”

13 He replied, “You give them something to eat.”

They answered, “We have only five loaves of bread and two fish—unless we go and buy food for all this crowd.” 14 (About five thousand men were there.)

But he said to his disciples, “Have them sit down in groups of about fifty each.” 15 The disciples did so, and everyone sat down. 16 Taking the five loaves and the two fish and looking up to heaven, he gave thanks and broke them.(S) Then he gave them to the disciples to distribute to the people. 17 They all ate and were satisfied, and the disciples picked up twelve basketfuls of broken pieces that were left over.

Peter Declares That Jesus Is the Messiah(T)(U)

18 Once when Jesus was praying(V) in private and his disciples were with him, he asked them, “Who do the crowds say I am?”

19 They replied, “Some say John the Baptist;(W) others say Elijah; and still others, that one of the prophets of long ago has come back to life.”(X)

20 “But what about you?” he asked. “Who do you say I am?”

Peter answered, “God’s Messiah.”(Y)

Jesus Predicts His Death

21 Jesus strictly warned them not to tell this to anyone.(Z) 22 And he said, “The Son of Man(AA) must suffer many things(AB) and be rejected by the elders, the chief priests and the teachers of the law,(AC) and he must be killed(AD) and on the third day(AE) be raised to life.”(AF)

23 Then he said to them all: “Whoever wants to be my disciple must deny themselves and take up their cross daily and follow me.(AG) 24 For whoever wants to save their life will lose it, but whoever loses their life for me will save it.(AH) 25 What good is it for someone to gain the whole world, and yet lose or forfeit their very self? 26 Whoever is ashamed of me and my words, the Son of Man will be ashamed of them(AI) when he comes in his glory and in the glory of the Father and of the holy angels.(AJ)

27 “Truly I tell you, some who are standing here will not taste death before they see the kingdom of God.”

The Transfiguration(AK)

28 About eight days after Jesus said this, he took Peter, John and James(AL) with him and went up onto a mountain to pray.(AM) 29 As he was praying, the appearance of his face changed, and his clothes became as bright as a flash of lightning. 30 Two men, Moses and Elijah, appeared in glorious splendor, talking with Jesus. 31 They spoke about his departure,[a](AN) which he was about to bring to fulfillment at Jerusalem. 32 Peter and his companions were very sleepy,(AO) but when they became fully awake, they saw his glory and the two men standing with him. 33 As the men were leaving Jesus, Peter said to him, “Master,(AP) it is good for us to be here. Let us put up three shelters—one for you, one for Moses and one for Elijah.” (He did not know what he was saying.)

34 While he was speaking, a cloud appeared and covered them, and they were afraid as they entered the cloud. 35 A voice came from the cloud, saying, “This is my Son, whom I have chosen;(AQ) listen to him.”(AR) 36 When the voice had spoken, they found that Jesus was alone. The disciples kept this to themselves and did not tell anyone at that time what they had seen.(AS)

Jesus Heals a Demon-Possessed Boy(AT)

37 The next day, when they came down from the mountain, a large crowd met him. 38 A man in the crowd called out, “Teacher, I beg you to look at my son, for he is my only child. 39 A spirit seizes him and he suddenly screams; it throws him into convulsions so that he foams at the mouth. It scarcely ever leaves him and is destroying him. 40 I begged your disciples to drive it out, but they could not.”

41 “You unbelieving and perverse generation,”(AU) Jesus replied, “how long shall I stay with you and put up with you? Bring your son here.”

42 Even while the boy was coming, the demon threw him to the ground in a convulsion. But Jesus rebuked the impure spirit, healed the boy and gave him back to his father. 43 And they were all amazed at the greatness of God.

Jesus Predicts His Death a Second Time

While everyone was marveling at all that Jesus did, he said to his disciples, 44 “Listen carefully to what I am about to tell you: The Son of Man is going to be delivered into the hands of men.”(AV) 45 But they did not understand what this meant. It was hidden from them, so that they did not grasp it,(AW) and they were afraid to ask him about it.

46 An argument started among the disciples as to which of them would be the greatest.(AX) 47 Jesus, knowing their thoughts,(AY) took a little child and had him stand beside him. 48 Then he said to them, “Whoever welcomes this little child in my name welcomes me; and whoever welcomes me welcomes the one who sent me.(AZ) For it is the one who is least among you all who is the greatest.”(BA)

49 “Master,”(BB) said John, “we saw someone driving out demons in your name and we tried to stop him, because he is not one of us.”

50 “Do not stop him,” Jesus said, “for whoever is not against you is for you.”(BC)

Samaritan Opposition

51 As the time approached for him to be taken up to heaven,(BD) Jesus resolutely set out for Jerusalem.(BE) 52 And he sent messengers on ahead, who went into a Samaritan(BF) village to get things ready for him; 53 but the people there did not welcome him, because he was heading for Jerusalem. 54 When the disciples James and John(BG) saw this, they asked, “Lord, do you want us to call fire down from heaven to destroy them[b]?”(BH) 55 But Jesus turned and rebuked them. 56 Then he and his disciples went to another village.

The Cost of Following Jesus(BI)

57 As they were walking along the road,(BJ) a man said to him, “I will follow you wherever you go.”

58 Jesus replied, “Foxes have dens and birds have nests, but the Son of Man(BK) has no place to lay his head.”

59 He said to another man, “Follow me.”(BL)

But he replied, “Lord, first let me go and bury my father.”

60 Jesus said to him, “Let the dead bury their own dead, but you go and proclaim the kingdom of God.”(BM)

61 Still another said, “I will follow you, Lord; but first let me go back and say goodbye to my family.”(BN)

62 Jesus replied, “No one who puts a hand to the plow and looks back is fit for service in the kingdom of God.”

Footnotes

  1. Luke 9:31 Greek exodos
  2. Luke 9:54 Some manuscripts them, just as Elijah did

Иисус посылает двенадцать учеников на служение(A)

Созвав вместе двенадцать, Иисус дал им силу и власть одолевать всех демонов и излечивать болезни. Затем Он послал их возвещать Божье Царство и исцелять больных, сказав им:

– Ничего не берите с собой в дорогу: ни посоха, ни сумки, ни хлеба, ни денег, ни запасной одежды. В какой бы дом вы ни вошли, оставайтесь там и оттуда отправляйтесь дальше. А если где-то люди вас не примут, то, уходя из того города, отряхните пыль с ваших ног, это будет свидетельством против них.

Ученики отправились в путь и, переходя из селения в селение, возвещали Радостную Весть и повсюду исцеляли больных.

Смятение правителя Ирода(B)

Слухи обо всем этом дошли и до правителя Ирода[a]. Он был в недоумении, потому что одни говорили, что это Иоанн воскрес из мертвых, другие – что явился Илия, третьи – что ожил один из древних пророков. Ирод говорил:

– Иоанна я обезглавил, а кто же тогда Этот Человек, о Котором мне такое рассказывают?

И он искал возможность увидеть Иисуса.

Иисус насыщает более пяти тысяч человек(C)

10 Апостолы, возвратившись, рассказали Иисусу обо всем, что они сделали. Потом Он взял их с Собой, и они пошли одни к городу, называемому Вифсаида. 11 Однако толпы народа, узнав об этом, пошли за Иисусом. Он радушно их принял и говорил им о Божьем Царстве, а также исцелял тех, кто в этом нуждался. 12 День уже клонился к вечеру, и двенадцать подошли к Иисусу и сказали:

– Отпусти людей, чтобы они пошли в окрестные селения и деревни и нашли себе ночлег и пищу, ведь мы здесь в пустынном месте.

13 Иисус ответил:

– Вы сами дайте им есть.

Ученики удивились:

– Да ведь у нас только пять хлебов и две рыбы. Разве что нам пойти и купить еды на всех этих людей?

14 А там одних только мужчин было около пяти тысяч. Но Иисус сказал ученикам:

– Рассадите людей группами, человек по пятьдесят.

15 Ученики так и сделали. Когда все сели, 16 Иисус взял пять хлебов и две рыбы и, подняв глаза к небу, благословил пищу. Затем Он стал разламывать хлеб и рыбу и давать их Своим ученикам, чтобы те раздавали народу. 17 Все ели и насытились, и собрали еще двенадцать корзин остатков.

Петр признает Иисуса Христом(D)

18 Однажды, когда Иисус молился в одиночестве и недалеко от Него были Его ученики, Он спросил их:

– За кого принимает Меня народ?

19 Они ответили:

– За Иоанна Крестителя; другие же – за Илию; а некоторые говорят, что один из других древних пророков ожил.

20 – А вы кем считаете Меня? – спросил их Иисус.

– Божьим Христом[b], – ответил Петр.

Иисус впервые говорит о Своей смерти и воскресении(E)

21 Но Иисус строго велел им никому не говорить об этом, 22 сказав:

– Сыну Человеческому должно много пострадать и быть отвергнутым старейшинами, первосвященниками и учителями Закона. Он будет убит, но на третий день воскреснет.

Что значит быть последователем Иисуса?(F)

23 Потом Иисус сказал им:

– Если кто желает быть Моим последователем, пусть отречется от самого себя и, каждый день беря свой крест, следует за Мной. 24 Потому что тот, кто хочет сберечь свою жизнь, потеряет ее, а кто потеряет свою жизнь ради Меня, тот спасет ее. 25 Ведь что пользы человеку, если он приобретет весь мир, но при этом погубит самого себя или повредит себе? 26 Кто постыдится Меня и Моих слов, того постыдится и Сын Человеческий, когда придет в Своей славе и в славе Отца и святых ангелов. 27 Говорю вам истину, некоторые из вас, стоящих здесь, не умрут, пока не увидят Божьего Царства.

Преображение Иисуса(G)

28 Примерно восемь дней спустя после этих слов, Иисус, взяв с Собой Петра, Иоанна и Иакова, поднялся на гору помолиться. 29 Во время молитвы Его облик вдруг изменился, а одежда стала ослепительно белой. 30 И вот появились два человека, которые стали разговаривать с Иисусом, – это были Моисей и Илия. 31 Явившись в славе, они говорили о Его исходе, который Он должен будет совершить в Иерусалиме. 32 А Петра и тех, кто был вместе с ним, одолел сон, но когда они очнулись, то увидели славу Иисуса и двух мужчин, стоявших рядом с Ним. 33 Когда мужчины уже уходили, Петр сказал Иисусу:

– Наставник, нам здесь так хорошо! Давай мы сделаем три шалаша, один Тебе, один Моисею и один Илии.

Он и сам не знал, что говорит. 34 Когда он еще говорил, показалось облако и накрыло их. Оказавшись в облаке, они очень испугались. 35 А из облака прозвучал голос:

– Это Мой Сын, Мой избранный. Его слушайте![c]

36 Когда голос умолк, они увидели Иисуса уже одного. Они молчали об этом и в то время никому не рассказывали о том, что видели.

Иисус исцеляет мальчика, одержимого нечистым духом(H)

37 На следующий день, когда они спустились с горы, Иисуса встретила большая толпа. 38 И один человек из толпы закричал:

– Учитель, умоляю Тебя, посмотри моего сына! Он у меня один. 39 Иногда его схватывает дух, и тогда мальчик внезапно начинает кричать, его сводит судорогой, так что у него изо рта идет пена. Дух терзает его до полного изнеможения и лишь тогда нехотя отступает. 40 Я просил Твоих учеников изгнать его, но они не смогли.

41 – О неверующее и испорченное поколение, – сказал Иисус, – сколько Мне еще быть с вами и терпеть вас? Приведи сына сюда.

42 Когда мальчик еще шел, дух бросил его на землю в припадке. Но Иисус приказал нечистому духу выйти, исцелил мальчика, а затем отдал его отцу. 43 Все были поражены величием Бога.

Иисус снова говорит о Своей смерти(I)

В то время как все удивлялись тому, что совершил Иисус, Он сказал Своим ученикам:

44 – Слушайте внимательно, что Я вам сейчас скажу: Сын Человеческий будет предан в руки людей.

45 Но они не поняли, что Он имел в виду, от них это было сокрыто, так что они не поняли смысла сказанного, а спросить, что означают Его слова, боялись.

Ученики спорят о том, кто из них самый великий(J)

46 Среди учеников как-то начался спор о том, кто из них важнее. 47 Иисус, зная их мысли, взял маленького ребенка и поставил его рядом с Собой.

48 – Кто ради Меня принимает такого ребенка, – сказал Иисус, – тот принимает и Меня, а кто принимает Меня, тот принимает и Пославшего Меня. Кто среди вас меньше всех, тот и велик.

Кто не против вас, тот за вас(K)

49 Иоанн сказал Ему: – Наставник! Мы видели человека, который Твоим именем изгонял демонов, и мы запретили ему, потому что он не следует за Тобой вместе с нами.

50 – Не запрещайте, – сказал Иисус. – Кто не против вас, тот за вас.

Отвержение Иисуса Христа самарянами

51 Когда Иисусу подошло время быть взятым на небо, Он направился в Иерусалим. 52 Вперед Себя Он послал вестников, и те пошли в одно из самарянских селений, чтобы приготовить все к Его приходу. 53 Но жители селения не приняли Его, потому что Он шел в Иерусалим[d]. 54 Увидев это, Его ученики Иаков и Иоанн сказали:

– Господи, хочешь, мы прикажем огню сойти с неба и всех их истребить, как и Илия сделал?[e]

55 Но Иисус, обернувшись, запретил им и сказал:

– Вы не знаете, какого вы духа, 56 ведь Сын Человеческий пришел не губить человеческие души, а спасать.

И они пошли в другое селение[f].

Иисус говорит о цене следования за Ним(L)

57 Когда они шли по дороге, один человек сказал Иисусу:

– Я пойду за Тобой, куда бы Ты ни пошел.

58 Иисус ответил:

– У лисиц есть норы, и у птиц небесных – гнезда, а Сыну Человеческому негде и голову приклонить.

59 Другому человеку Иисус сказал:

– Следуй за Мной.

Но тот ответил:

– Господи, разреши мне прежде пойти и похоронить отца моего[g].

60 – Пусть мертвые сами хоронят своих мертвецов, а ты иди и провозглашай Божье Царство, – сказал ему Иисус.

61 Еще один человек сказал Ему:

– Я пойду за Тобой, Господи, но позволь мне прежде пойти и попрощаться с моей семьей.

62 Иисус ответил:

– Ни один человек, положивший руку на плуг и оглядывающийся назад, не пригоден для Божьего Царства.

Footnotes

  1. 9:7 Это Ирод Антипа, сын Ирода Великого от самарянки Малфаки. Он правил Галилеей и Переей с 4 г. до н. э. по 39 г. н. э.
  2. 9:20 Христос – «Помазанник», праведный Царь и Освободитель, Спаситель, обещанный Богом еще в Законе, Псалмах и Пророках.
  3. 9:35 См. Втор. 18:15; Пс. 2:7; Ис. 42:1. В Иисусе мы видим исполнение всех этих пророчеств: Он и обещанный Моисеем Пророк, и Мессия (Царь Израиля), и «Страдающий Слуга Бога».
  4. 9:53 Между самарянами и иудеями была давняя вражда.
  5. 9:54 См. 4 Цар. 1:10-12.
  6. 9:56 Слова «как и Илия сделал» (ст. 54) и «и сказал: вы не знаете, какого вы духа, ведь Сын Человеческий пришел не губить человеческие души, а спасать» (ст. 55-56) отсутствуют в древнейших рукописях Евангелия от Луки.
  7. 9:59 В первом веке существовал погребальный обычай, по которому тело усопшего на год помещали в пещеру. После этого времени, когда от тела ничего кроме костей не оставалось, их убирали и хоронили в урне. Этот стих может быть переведен и следующим образом: «Господи, разреши остаться со своим отцом, чтобы, когда он умрет, я смог похоронить его».

Then he called his twelve disciples together, and gave them power and authority over all devils, and to cure diseases.

And he sent them to preach the kingdom of God, and to heal the sick.

And he said unto them, Take nothing for your journey, neither staves, nor scrip, neither bread, neither money; neither have two coats apiece.

And whatsoever house ye enter into, there abide, and thence depart.

And whosoever will not receive you, when ye go out of that city, shake off the very dust from your feet for a testimony against them.

And they departed, and went through the towns, preaching the gospel, and healing every where.

Now Herod the tetrarch heard of all that was done by him: and he was perplexed, because that it was said of some, that John was risen from the dead;

And of some, that Elias had appeared; and of others, that one of the old prophets was risen again.

And Herod said, John have I beheaded: but who is this, of whom I hear such things? And he desired to see him.

10 And the apostles, when they were returned, told him all that they had done. And he took them, and went aside privately into a desert place belonging to the city called Bethsaida.

11 And the people, when they knew it, followed him: and he received them, and spake unto them of the kingdom of God, and healed them that had need of healing.

12 And when the day began to wear away, then came the twelve, and said unto him, Send the multitude away, that they may go into the towns and country round about, and lodge, and get victuals: for we are here in a desert place.

13 But he said unto them, Give ye them to eat. And they said, We have no more but five loaves and two fishes; except we should go and buy meat for all this people.

14 For they were about five thousand men. And he said to his disciples, Make them sit down by fifties in a company.

15 And they did so, and made them all sit down.

16 Then he took the five loaves and the two fishes, and looking up to heaven, he blessed them, and brake, and gave to the disciples to set before the multitude.

17 And they did eat, and were all filled: and there was taken up of fragments that remained to them twelve baskets.

18 And it came to pass, as he was alone praying, his disciples were with him: and he asked them, saying, Whom say the people that I am?

19 They answering said, John the Baptist; but some say, Elias; and others say, that one of the old prophets is risen again.

20 He said unto them, But whom say ye that I am? Peter answering said, The Christ of God.

21 And he straitly charged them, and commanded them to tell no man that thing;

22 Saying, The Son of man must suffer many things, and be rejected of the elders and chief priests and scribes, and be slain, and be raised the third day.

23 And he said to them all, If any man will come after me, let him deny himself, and take up his cross daily, and follow me.

24 For whosoever will save his life shall lose it: but whosoever will lose his life for my sake, the same shall save it.

25 For what is a man advantaged, if he gain the whole world, and lose himself, or be cast away?

26 For whosoever shall be ashamed of me and of my words, of him shall the Son of man be ashamed, when he shall come in his own glory, and in his Father's, and of the holy angels.

27 But I tell you of a truth, there be some standing here, which shall not taste of death, till they see the kingdom of God.

28 And it came to pass about an eight days after these sayings, he took Peter and John and James, and went up into a mountain to pray.

29 And as he prayed, the fashion of his countenance was altered, and his raiment was white and glistering.

30 And, behold, there talked with him two men, which were Moses and Elias:

31 Who appeared in glory, and spake of his decease which he should accomplish at Jerusalem.

32 But Peter and they that were with him were heavy with sleep: and when they were awake, they saw his glory, and the two men that stood with him.

33 And it came to pass, as they departed from him, Peter said unto Jesus, Master, it is good for us to be here: and let us make three tabernacles; one for thee, and one for Moses, and one for Elias: not knowing what he said.

34 While he thus spake, there came a cloud, and overshadowed them: and they feared as they entered into the cloud.

35 And there came a voice out of the cloud, saying, This is my beloved Son: hear him.

36 And when the voice was past, Jesus was found alone. And they kept it close, and told no man in those days any of those things which they had seen.

37 And it came to pass, that on the next day, when they were come down from the hill, much people met him.

38 And, behold, a man of the company cried out, saying, Master, I beseech thee, look upon my son: for he is mine only child.

39 And, lo, a spirit taketh him, and he suddenly crieth out; and it teareth him that he foameth again, and bruising him hardly departeth from him.

40 And I besought thy disciples to cast him out; and they could not.

41 And Jesus answering said, O faithless and perverse generation, how long shall I be with you, and suffer you? Bring thy son hither.

42 And as he was yet a coming, the devil threw him down, and tare him. And Jesus rebuked the unclean spirit, and healed the child, and delivered him again to his father.

43 And they were all amazed at the mighty power of God. But while they wondered every one at all things which Jesus did, he said unto his disciples,

44 Let these sayings sink down into your ears: for the Son of man shall be delivered into the hands of men.

45 But they understood not this saying, and it was hid from them, that they perceived it not: and they feared to ask him of that saying.

46 Then there arose a reasoning among them, which of them should be greatest.

47 And Jesus, perceiving the thought of their heart, took a child, and set him by him,

48 And said unto them, Whosoever shall receive this child in my name receiveth me: and whosoever shall receive me receiveth him that sent me: for he that is least among you all, the same shall be great.

49 And John answered and said, Master, we saw one casting out devils in thy name; and we forbad him, because he followeth not with us.

50 And Jesus said unto him, Forbid him not: for he that is not against us is for us.

51 And it came to pass, when the time was come that he should be received up, he stedfastly set his face to go to Jerusalem,

52 And sent messengers before his face: and they went, and entered into a village of the Samaritans, to make ready for him.

53 And they did not receive him, because his face was as though he would go to Jerusalem.

54 And when his disciples James and John saw this, they said, Lord, wilt thou that we command fire to come down from heaven, and consume them, even as Elias did?

55 But he turned, and rebuked them, and said, Ye know not what manner of spirit ye are of.

56 For the Son of man is not come to destroy men's lives, but to save them. And they went to another village.

57 And it came to pass, that, as they went in the way, a certain man said unto him, Lord, I will follow thee whithersoever thou goest.

58 And Jesus said unto him, Foxes have holes, and birds of the air have nests; but the Son of man hath not where to lay his head.

59 And he said unto another, Follow me. But he said, Lord, suffer me first to go and bury my father.

60 Jesus said unto him, Let the dead bury their dead: but go thou and preach the kingdom of God.

61 And another also said, Lord, I will follow thee; but let me first go bid them farewell, which are at home at my house.

62 And Jesus said unto him, No man, having put his hand to the plough, and looking back, is fit for the kingdom of God.

Sending Out the Twelve(A)

Then (B)He called His twelve disciples together and (C)gave them power and authority over all demons, and to cure diseases. (D)He sent them to preach the kingdom of God and to heal the sick. (E)And He said to them, “Take nothing for the journey, neither staffs nor bag nor bread nor money; and do not have two tunics apiece.

(F)“Whatever house you enter, stay there, and from there depart. (G)And whoever will not receive you, when you go out of that city, (H)shake off the very dust from your feet as a testimony against them.”

(I)So they departed and went through the towns, preaching the gospel and healing everywhere.

Herod Seeks to See Jesus(J)

(K)Now Herod the tetrarch heard of all that was done by Him; and he was perplexed, because it was said by some that John had risen from the dead, and by some that Elijah had appeared, and by others that one of the old prophets had risen again. Herod said, “John I have beheaded, but who is this of whom I hear such things?” (L)So he sought to see Him.

Feeding the Five Thousand(M)

10 (N)And the apostles, when they had returned, told Him all that they had done. (O)Then He took them and went aside privately into a deserted place belonging to the city called Bethsaida. 11 But when the multitudes knew it, they followed Him; and He received them and spoke to them about the kingdom of God, and healed those who had need of healing. 12 (P)When the day began to wear away, the twelve came and said to Him, “Send the multitude away, that they may go into the surrounding towns and country, and lodge and get provisions; for we are in a deserted place here.”

13 But He said to them, “You give them something to eat.”

And they said, “We have no more than five loaves and two fish, unless we go and buy food for all these people.” 14 For there were about five thousand men.

Then He said to His disciples, “Make them sit down in groups of fifty.” 15 And they did so, and made them all sit down.

16 Then He took the five loaves and the two fish, and looking up to heaven, He (Q)blessed and broke them, and gave them to the disciples to set before the multitude. 17 So they all ate and were [a]filled, and twelve baskets of the leftover fragments were taken up by them.

Peter Confesses Jesus as the Christ(R)

18 (S)And it happened, as He was alone praying, that His disciples joined Him, and He asked them, saying, “Who do the crowds say that I am?”

19 So they answered and said, (T)“John the Baptist, but some say Elijah; and others say that one of the old prophets has risen again.”

20 He said to them, “But who do you say that I am?”

(U)Peter answered and said, “The Christ of God.”

Jesus Predicts His Death and Resurrection(V)

21 (W)And He strictly warned and commanded them to tell this to no one, 22 saying, (X)“The Son of Man must suffer many things, and be rejected by the elders and chief priests and scribes, and be killed, and be raised the third day.”

Take Up the Cross and Follow Him(Y)

23 (Z)Then He said to them all, “If anyone desires to come after Me, let him deny himself, and take up his cross [b]daily, and follow Me. 24 (AA)For whoever desires to save his life will lose it, but whoever loses his life for My sake will save it. 25 (AB)For what profit is it to a man if he gains the whole world, and is himself destroyed or lost? 26 (AC)For whoever is ashamed of Me and My words, of him the Son of Man will be (AD)ashamed when He comes in His own glory, and in His Father’s, and of the holy angels. 27 (AE)But I tell you truly, there are some standing here who shall not taste death till they see the kingdom of God.”

Jesus Transfigured on the Mount(AF)

28 (AG)Now it came to pass, about eight days after these sayings, that He took Peter, John, and James and went up on the mountain to pray. 29 As He prayed, the appearance of His face was altered, and His robe became white and glistening. 30 And behold, two men talked with Him, who were (AH)Moses and (AI)Elijah, 31 who appeared in glory and spoke of His [c]decease which He was about to accomplish at Jerusalem. 32 But Peter and those with him (AJ)were heavy with sleep; and when they were fully awake, they saw His glory and the two men who stood with Him. 33 Then it happened, as they were parting from Him, that Peter said to Jesus, “Master, it is good for us to be here; and let us make three [d]tabernacles: one for You, one for Moses, and one for Elijah”—not knowing what he said.

34 While he was saying this, a cloud came and overshadowed them; and they were fearful as they entered the (AK)cloud. 35 And a voice came out of the cloud, saying, (AL)“This is [e]My beloved Son. (AM)Hear Him!” 36 When the voice had ceased, Jesus was found alone. (AN)But they kept quiet, and told no one in those days any of the things they had seen.

A Boy Is Healed(AO)

37 (AP)Now it happened on the next day, when they had come down from the mountain, that a great multitude met Him. 38 Suddenly a man from the multitude cried out, saying, “Teacher, I implore You, look on my son, for he is my only child. 39 And behold, a spirit seizes him, and he suddenly cries out; it convulses him so that he foams at the mouth; and it departs from him with great difficulty, bruising him. 40 So I implored Your disciples to cast it out, but they could not.”

41 Then Jesus answered and said, “O [f]faithless and perverse generation, how long shall I be with you and [g]bear with you? Bring your son here.” 42 And as he was still coming, the demon threw him down and convulsed him. Then Jesus rebuked the unclean spirit, healed the child, and gave him back to his father.

Jesus Again Predicts His Death(AQ)

43 And they were all amazed at the majesty of God.

But while everyone marveled at all the things which Jesus did, He said to His disciples, 44 (AR)“Let these words sink down into your ears, for the Son of Man is about to be betrayed into the hands of men.” 45 (AS)But they did not understand this saying, and it was hidden from them so that they did not perceive it; and they were afraid to ask Him about this saying.

Who Is the Greatest?(AT)

46 (AU)Then a dispute arose among them as to which of them would be greatest. 47 And Jesus, (AV)perceiving the thought of their heart, took a (AW)little child and set him by Him, 48 and said to them, (AX)“Whoever receives this little child in My name receives Me; and (AY)whoever receives Me (AZ)receives Him who sent Me. (BA)For he who is least among you all will be great.”

Jesus Forbids Sectarianism(BB)

49 (BC)Now John answered and said, “Master, we saw someone casting out demons in Your name, and we forbade him because he does not follow with us.”

50 But Jesus said to him, “Do not forbid him, for (BD)he who is not against [h]us is on [i]our side.”

A Samaritan Village Rejects the Savior

51 Now it came to pass, when the time had come for (BE)Him to be received up, that He steadfastly set His face to go to Jerusalem, 52 and sent messengers before His face. And as they went, they entered a village of the Samaritans, to prepare for Him. 53 But (BF)they did not receive Him, because His face was set for the journey to Jerusalem. 54 And when His disciples (BG)James and John saw this, they said, “Lord, do You want us to command fire to come down from heaven and consume them, [j]just as (BH)Elijah did?”

55 But He turned and rebuked them, [k]and said, “You do not know what manner of (BI)spirit you are of. 56 [l]For (BJ)the Son of Man did not come to destroy men’s lives but to save them. And they went to another village.

The Cost of Discipleship(BK)

57 (BL)Now it happened as they journeyed on the road, that someone said to Him, “Lord, I will follow You wherever You go.”

58 And Jesus said to him, “Foxes have holes and birds of the air have nests, but the Son of Man (BM)has nowhere to lay His head.”

59 (BN)Then He said to another, “Follow Me.”

But he said, “Lord, let me first go and bury my father.”

60 Jesus said to him, “Let the dead bury their own dead, but you go and preach the kingdom of God.”

61 And another also said, “Lord, (BO)I will follow You, but let me first go and bid them farewell who are at my house.”

62 But Jesus said to him, “No one, having put his hand to the plow, and looking back, is (BP)fit for the kingdom of God.”

Footnotes

  1. Luke 9:17 satisfied
  2. Luke 9:23 M omits daily
  3. Luke 9:31 Death, lit. departure
  4. Luke 9:33 tents
  5. Luke 9:35 NU My Son, the Chosen One
  6. Luke 9:41 unbelieving
  7. Luke 9:41 put up with
  8. Luke 9:50 NU you
  9. Luke 9:50 NU your
  10. Luke 9:54 NU omits just as Elijah did
  11. Luke 9:55 NU omits the rest of v. 55.
  12. Luke 9:56 NU omits For the Son of Man did not come to destroy men’s lives but to save them.