Font Size
Warumi 8:5-7
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Warumi 8:5-7
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
5 Watu wanaoishi kwa kufuata udhaifu wa kibinadamu[a] huyafikiri yale wanayoyataka tu. Lakini wale wanaoishi kwa kumfuata Roho huyafikiri yale Roho anayotaka wafanye. 6 Ikiwa fikra zenu zinaongozwa na udhaifu wa kibinadamu, kuna kifo cha kiroho. Lakini ikiwa fikra zenu zinaongozwa na Roho, kuna uhai na amani. 7 Je, hili ni kweli? Kwa sababu kila mtu ambaye fikra zake zinaongozwa na udhaifu wa kibinadamu yuko kinyume na Mungu maana hukataa kuitii sheria ya Mungu. Na kwa hakika hawawezi kutii.
Read full chapterFootnotes
- 8:5 kibinadamu Yaani tamaa za mwili, nafsi na dhambi.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International