Font Size
Ufunuo 14:2
Nikasikia sauti kutoka mbinguni yenye kelele kama mafuriko au ngurumo ya radi. Lakini ilisikika kama sauti ya wapiga vinubi wapigao vinubi vyao.
Basi nikasikia sauti kutoka mbinguni kama sauti ya maporomoko ya maji mengi na kama sauti ya ngurumo ya radi kubwa. Na sauti hiyo niliyoisikia, ilikuwa kama sauti ya wapiga vinubi wakipiga vinubi vyao.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica