Ufunuo 17:11
Print
Mnyama ambaye hapo kwanza alikuwa hai, lakini haishi tena ni mtawala wa nane. Naye ni mmoja wa watawala saba wa kwanza. Naye ataangamizwa.
Na huyo mnyama aliyekuwapo ambaye hayupo, yeye ni wa nane, lakini ni wa kundi la wale saba naye pia ataan gamizwa.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) Copyright © 2017 by Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica