Ufunuo 12:6
Print
Mwanamke alikimbilia jangwani mpaka mahali ambako Mungu amemwandalia. Huko angetunzwa kwa siku 1,260.
Yule mwanamke akakimbilia nyikani, ambako Mungu alik wisha kumtengenezea mahali pa kumtunza kwa muda wa siku elfu moja mia mbili na sitini.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica