Mathayo 9:1
Print
Yesu akapanda katika mashua na akasafiri kwa kukatisha ziwa kurudi kwenye mji wake.
Yesu akaingia katika mashua akavuka ziwa, akafika katika mji wa kwao.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) Copyright © 2017 by Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica