Mathayo 7:17
Print
Vile vile, kila mti mzuri huzaa matunda mazuri na mti mbaya huzaa matunda mabaya.
Vivyo hivyo mti mzuri huzaa matunda mazuri na mti mbaya huzaa matunda mabaya.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica