Mathayo 6:19
Print
Msijiwekee hazina hapa duniani, mahali nondo na kutu huiharibu. Na wezi wanaweza kuvunja nyumba yako na kuziiba.
“Msijiwekee mali nyingi duniani ambapo wadudu na kutu huharibu na wezi huvunja na kuiba.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica