Mathayo 28:10
Print
Kisha Yesu akawaambia, “Msiogope. Nendeni mkawaambie wafuasi wangu waende Galilaya, wataniona huko.”
Ndipo Yesu akawaambia, “Msiogope. Nendeni mkawaambie ndugu zangu waende Galilaya, wataniona huko.”
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica