Mathayo 21:29
Print
Mwanaye akasema, ‘Siendi.’ Lakini baadaye akabadili uamuzi wake na akaenda.
Yule mwanae akasema, ‘Siendi,’ lakini baadaye akabadili mawazo akaenda.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica