Mathayo 16:18
Print
Hivyo ninakwambia, Wewe ni Petro. Na nitalijenga kanisa langu kwenye mwamba huu. Nguvu ya mauti haitaweza kulishinda kanisa langu.
“Nami nakuambia, wewe ni Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu ambalo hata nguvu za kuzimu haziwezi kulishinda.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica