Mathayo 12:49
Print
Kisha akanyoosha kidole kwa wafuasi wake na akasema, “Unaona! Watu hawa ni mama yangu na ndugu zangu.
Akinyoosha kidole chake kwa wanafunzi wake, alisema , “Hawa hapa ndio mama yangu na ndugu zangu!
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica