Yesu akawaambia, “Hakika mmesoma hili katika Maandiko: ‘Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni. Bwana amefanya hivi, na ni ajabu kubwa kwetu kuliona.’
Yesu akawaambia, “Hamjapata kusoma katika Maandiko kwamba: ‘Lile jiwe walilokataa wajenzi limekuwa jiwe kuu la pembeni; Bwana ndiye amefanya jambo hili nalo ni zuri ajabu machoni petu’?