Mathayo 11:17
Print
‘Tuliwapigia filimbi, lakini hamkucheza; tuliimba wimbo wa maziko, lakini hamkuhuzunika.’
‘Tuliwapigia filimbi, lakini hamkucheza; tuliwaimbia nyimbo za msiba, lakini hamkuomboleza.’
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica