Marko 5:9
Print
Ndipo Yesu akamwuliza yule mtu, “Jina lako nani?” Naye akamjibu, “Jina langu ni Jeshi, kwa sababu tuko wengi.”
Yesu akamwuliza, “Jina lako ni nani?” Akamjibu, “Jina langu ni jeshi, kwa maana tupo wengi.”
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica